James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Habari zenu wadau wa JamiiForum,
Napenda kuleta mada hii ili iwe masaada kwangu na kwa wengine watakaokuwa na tatizo kama langu,
Mimi ni mmoja ya vijana walio apply kujiunga na chuo kwa mwaka huu kupitia NACTE. Kitu kikubwa cha kushangaza mpaka sasa Nacte hawajatoa jina langu kwenda chuo chochote na naona siku zinazidi kusonga, nimejaribu kuangalia profile yangu bado iko vile vile, haijabadilika. Napata mawazo sana. JE NIENDELEE KUSUBIRI? JE NI HATUA GANI NIFANYE maana mpaka sasa siku zimesonga sana? Msaada tafadhali.