NACTE kulikoni, mnatumia vigezo gani?

NACTE kulikoni, mnatumia vigezo gani?

Suip

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,374
Reaction score
848
Kuna vijana niliwasaidia kuomba vyuo vya afya kupitia NACTE, mmoja aliomba nursing na alichaguliwa katika second selection na kuthibitishwa kuwa anaenda chuo fulani(sitaki nikitaje) lakini alipowasiliana na chuo wakamjibu chuo kimejaa na jana wamembadilishia chuo na bado hakuthibitishiwa hiyo nafasi yaani pending, sasa ni vyuo vinajipangia au NACTE wanapanga baada vyuo kuwapatia idadi ya wanafunzi wanaohitajika?
Wa pili aliomba kozi ya Community Health na katika third selection ya leo hakuchaguliwa ila wanasema anavigezo(eligible) abadilishe machaguo yake, sasa hoja kama anavigezo mbona hawakumchagua wakati yeye ana point 27 na ana D zaidi ya 4 na moja ikiwa ya Biology lakini katika vyuo vitatu alivyochagua cut off point ya mwanafunzi wa mwisho kuchaguliwa ni point 29, 28, na 28.
Ni vigezo gani vilivyotumika kumwacha wa division 4 ya point 27 unamchukua division 4 ya point 29 na 28.
Yawezekena NACTE hakuna meno ya kuthibiti vyuo hivi,basi waacheni wanafunzi waoombe moja kwa moja vyuoni badala ya ninyi kukusanya fedha za watu bure ilhali hamna uwezo.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-10-05-16-07-50.png
    Screenshot_2016-10-05-16-07-50.png
    12.7 KB · Views: 65
  • Screenshot_2016-10-05-16-08-11.png
    Screenshot_2016-10-05-16-08-11.png
    11.8 KB · Views: 64
  • Screenshot_2016-10-05-16-08-21.png
    Screenshot_2016-10-05-16-08-21.png
    9.4 KB · Views: 55
Haya ni maneno tu ya mkosaji anayetaka kupotiasha umma huyu wako mbona kapitwa vigezo na waliochaguliwa? Hii fani hawaangalii division wanacheck masomo wako hakufanya physics na huyo wa juu alifanya jicho kilichomtupa njee. Fanya research kabla hujaanza kubwa tuka huku kwenye mitandao mkuu.
 
Upo NACTE? kwanza nina mashaka na uandishi wako,nisingependa kuongea maneno mabaya ila nina mashaka na research yako. Kwa kozi hiyo kigezo cha Physics hakipo, na ukiangalia hiyo screenshots hapo juu wa kwanza na wa pili hawakuchukua Physics na wa tatu Physics kapata F sawa tu na hakuna.Vigezo kozi hiyo ni Basic Technician Certificate Level  Community Health Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes including Biology;
 
Sasa wewe na ki D chako hicho cha biology unaweza kulingana na hao wenye C zao kwa division? Hiyo kozi ni ya afya kigezo ni masomo ya science aliyenayo ndio mwenye priority. Ungesoma kwa bidii usingekuja huku kuwalaaamu nacte
 
Kuna vijana niliwasaidia kuomba vyuo vya afya kupitia NACTE, mmoja aliomba nursing na alichaguliwa katika second selection na kuthibitishwa kuwa anaenda chuo fulani(sitaki nikitaje) lakini alipowasiliana na chuo wakamjibu chuo kimejaa na jana wamembadilishia chuo na bado hakuthibitishiwa hiyo nafasi yaani pending, sasa ni vyuo vinajipangia au NACTE wanapanga baada vyuo kuwapatia idadi ya wanafunzi wanaohitajika?
Wa pili aliomba kozi ya Community Health na katika third selection ya leo hakuchaguliwa ila wanasema anavigezo(eligible) abadilishe machaguo yake, sasa hoja kama anavigezo mbona hawakumchagua wakati yeye ana point 27 na ana D zaidi ya 4 na moja ikiwa ya Biology lakini katika vyuo vitatu alivyochagua cut off point ya mwanafunzi wa mwisho kuchaguliwa ni point 29, 28, na 28.
Ni vigezo gani vilivyotumika kumwacha wa division 4 ya point 27 unamchukua division 4 ya point 29 na 28.
Yawezekena NACTE hakuna meno ya kuthibiti vyuo hivi,basi waacheni wanafunzi waoombe moja kwa moja vyuoni badala ya ninyi kukusanya fedha za watu bure ilhali hamna uwezo.
 
mkuu hujazurumiwa apo uyo wa kwanza kafanya physics we hujafany uyo wa pili kakupita c ya chem na uyo mwingine ana c ya bio....nacte wanaangalia cut off kwenye p c b plus engl na math na sio division..
 
nimekuelewa nashukuru
 
Back
Top Bottom