mandojo Member Joined Jul 2, 2016 Posts 41 Reaction score 5 Jul 9, 2016 #41 Nyaka-One said: Hiyo ni Teofilo Kisanji University (TEKU). Chuo kiko Mbeya. Kila la heri. Click to expand... uongooooo!!! shit!
Nyaka-One said: Hiyo ni Teofilo Kisanji University (TEKU). Chuo kiko Mbeya. Kila la heri. Click to expand... uongooooo!!! shit!
Nyaka-One JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 4,884 Reaction score 7,021 Jul 9, 2016 #42 mandojo said: uongooooo!!! shit! Click to expand... Teofilo Kisanji University (TEKU) is a private university in Mbeya, Tanzania. It is run by the Moravian Church of Tanzania. Naona umekurupuka kabla ya kumalizia msokoto wako wa bangi. Nenda kaumalizie sasa.
mandojo said: uongooooo!!! shit! Click to expand... Teofilo Kisanji University (TEKU) is a private university in Mbeya, Tanzania. It is run by the Moravian Church of Tanzania. Naona umekurupuka kabla ya kumalizia msokoto wako wa bangi. Nenda kaumalizie sasa.
mnyaga1 Senior Member Joined Sep 24, 2014 Posts 184 Reaction score 104 Jul 9, 2016 #43 mbna nafungua haifunguki???
kzba JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 1,355 Reaction score 790 Jul 9, 2016 #44 Hv jamani hawa nacte wata recruit wahitaji wengine kwa mwaka huu!?
starj4 Senior Member Joined Jul 2, 2016 Posts 143 Reaction score 21 Jul 9, 2016 #45 wana media naomben msaada jins ya kupata hyo systerm maana naingia bado sion pa kuingia
starj4 Senior Member Joined Jul 2, 2016 Posts 143 Reaction score 21 Jul 9, 2016 #46 naomben msaada wenu niweze kuangalia profile yangu
mwita burure Senior Member Joined Jul 8, 2016 Posts 192 Reaction score 39 Jul 9, 2016 #47 mnyaga1 said: mbna nafungua haifunguki??? Click to expand... Tulia muda bado uwiiiiiiii mbona mna haraka
mnyaga1 said: mbna nafungua haifunguki??? Click to expand... Tulia muda bado uwiiiiiiii mbona mna haraka
mwita burure Senior Member Joined Jul 8, 2016 Posts 192 Reaction score 39 Jul 9, 2016 #48 starj4 said: wana media naomben msaada jins ya kupata hyo systerm maana naingia bado sion pa kuingia Click to expand... Uwiiiiiiii mwaka huu hakuna selection nafasi zimejaa
starj4 said: wana media naomben msaada jins ya kupata hyo systerm maana naingia bado sion pa kuingia Click to expand... Uwiiiiiiii mwaka huu hakuna selection nafasi zimejaa
starj4 Senior Member Joined Jul 2, 2016 Posts 143 Reaction score 21 Jul 9, 2016 #49 kwa akil yako timamu kama selection zmejaa we unazan zimejaa vp kama sio baada ya kufanyika selection acha ushamba broo huo utoto jiongeze alaaa
kwa akil yako timamu kama selection zmejaa we unazan zimejaa vp kama sio baada ya kufanyika selection acha ushamba broo huo utoto jiongeze alaaa
Prince naithy Member Joined Nov 18, 2015 Posts 57 Reaction score 3 Jul 9, 2016 #50 Mnzngua Amn k2 chchote kweny nacte ttz una cube kjn achà upumbavu
J jerryThebos New Member Joined Jul 2, 2016 Posts 4 Reaction score 1 Jul 9, 2016 #51 tanzania digital said: Sasa ni rasmi kwa wale wa Nacte tayari wameshaachia selection ni vema sasa kuangalia profile yako sasa. Click to expand... ya kweli hayo au?
tanzania digital said: Sasa ni rasmi kwa wale wa Nacte tayari wameshaachia selection ni vema sasa kuangalia profile yako sasa. Click to expand... ya kweli hayo au?
gambakhuffu JF-Expert Member Joined Jul 2, 2010 Posts 509 Reaction score 547 Jul 9, 2016 #52 Hongereni sana wasomi wetu
Johnson Kazimoto Member Joined Jun 9, 2016 Posts 33 Reaction score 9 Jul 9, 2016 #53 RGforever said: Mimi Nimeshaangalia Na Nimechagulia Click to expand... Mkuu ebu nielekeze umefanyaje
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,765 Reaction score 9,243 Jul 9, 2016 #54 denis1984 said: Msaada nasikia nacte wametoa majina ya bachelor lakini nikicheki kwenye profile yangu hakuna mabadiliko au ni kwasababu niliupdate Mara ya mwisho tarehe 28/09/15 SAA 14:00hrs na je waliopata ni waina gani na je watatoa tena majina mengine? Click to expand... Kweli hakuna mabadiliko maana hatukuchagua mabadiliko nchi hii.
denis1984 said: Msaada nasikia nacte wametoa majina ya bachelor lakini nikicheki kwenye profile yangu hakuna mabadiliko au ni kwasababu niliupdate Mara ya mwisho tarehe 28/09/15 SAA 14:00hrs na je waliopata ni waina gani na je watatoa tena majina mengine? Click to expand... Kweli hakuna mabadiliko maana hatukuchagua mabadiliko nchi hii.
S semen86 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2016 Posts 345 Reaction score 250 Jul 9, 2016 #55 Mkiona post muwe mnangalia na tarehe sio mnarukaruka tu mbona hiyo post ni ya 2015 kwan hamjaona?
5 5525 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 5,433 Reaction score 6,356 Jul 9, 2016 #56 seleboy92 said: hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea Click to expand... Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani?
seleboy92 said: hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea Click to expand... Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani?
D davidkalamata3 Member Joined Jan 31, 2015 Posts 8 Reaction score 1 Jul 10, 2016 #57 seleboy92 said: hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea Click to expand... Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi
seleboy92 said: hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea Click to expand... Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi
D davidkalamata3 Member Joined Jan 31, 2015 Posts 8 Reaction score 1 Jul 10, 2016 #58 davidkalamata3 said: Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi Click to expand... Ofcourse kuna selection ya majina ya 2015/2016 hebu tuwe makini kupata updates
davidkalamata3 said: Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi Click to expand... Ofcourse kuna selection ya majina ya 2015/2016 hebu tuwe makini kupata updates
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Jul 10, 2016 #59 davidkalamata3 said: Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi Click to expand... Tulia Mkuu. Huu Uzi wa mwaka Jana. Mpaka sasa NACTE hawajatoa selection yeyote. Usijali yatatoka tu
davidkalamata3 said: Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi Click to expand... Tulia Mkuu. Huu Uzi wa mwaka Jana. Mpaka sasa NACTE hawajatoa selection yeyote. Usijali yatatoka tu
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Jul 10, 2016 #60 mr.London said: Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani? Click to expand... Habaro za mwaka Jana hizi nyie mnakurupukia tu. Mpaka sasa hakuna selection yeyote.
mr.London said: Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani? Click to expand... Habaro za mwaka Jana hizi nyie mnakurupukia tu. Mpaka sasa hakuna selection yeyote.