Msaada nasikia nacte wametoa majina ya bachelor lakini nikicheki kwenye profile yangu hakuna mabadiliko au ni kwasababu niliupdate Mara ya mwisho tarehe 28/09/15 SAA 14:00hrs na je waliopata ni waina gani na je watatoa tena majina mengine?
Mm ninatatizo kama lako nimewatembelea Leo kule ofisini kwao wameniambia kwamba nisibadilishe kitu kwenye profile yangu niache hvyohvyo wanaendelea na selection Leo jioni hadi wiki ijayo
mbeya hyo bob nimetoka dip pale journalism jpange tu ukakaze wapo very complcated .skutsh weng tuliona kama tunaonewa ila ni advantage ukimalza salama coz changamoto n mahal pake.utawasalimu sana bungeni bt naenda next week kuchukua chet changu
mimi nimeangalia profile yangu hakuna k2 kama hcho,na hayo majina kwenye website ya nacte hawajaweka,hv kama k2 ni serious kwanin wasiweke majina?hii thread ina ukwel wowote?
mimi nimeangalia profile yangu hakuna k2 kama hcho,na hayo majina kwenye website ya nacte hawajaweka,hv kama k2 ni serious kwanin wasiweke majina?hii thread ina ukwel wowote?