NACTE Guide Book 2015/16 for Teachers Education Programme

NACTE Guide Book 2015/16 for Teachers Education Programme

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,925
Reaction score
133,974
Nimezama web ya NACTE naona haifunguki, mwenye nayo please naomba atupie attachment hapa,Asanteni kwa kuja na kutoa msaada
 
washenzi sana! hawajaweka guide book
 
hivi hawa nacte kitengo cha IT hawaoni kuwa hawajaingiza database za wanafunzi waliomaliza mwaka 2015??? au mwaka huu wanataka wasiende vyuoniiiiiiiii?
 
quide book 2015/2016 ninayo najaribu ku upload hapa inagoma... sasa labda unitumie email yako nikutumie sasa hv
 
Back
Top Bottom