Mkuu kwema?? Mbona unajibu hovyo randomly!Hatutaki mtu overdose.
Pambana na hali yako.
Kaza mkuu, wote unaowaona wamevaa makoti au magauni meupe huko mahospitali wamepita njia hiyo hiyo, sasa iweje we ndo uone ngumu sana wakat wengi tu wametusua kiasi cha kushindwa kuajirika wote kutokana na wingi wao,
Naomba nisahihishe,Mkuu kwema?? Mbona unajibu hovyo randomly!
This is true, examination system lazima itazamwe upya. Nasikia watoto wamefeli sana mwaka huu. Na vyuo hawatoi matokeo ya watoto kwa wakati wanayabana sijui wanatafuta nini/nini kiko nyuma ya pazia?
Ungemwambia tu Kwa ustaarabu Kaka..nway uko Sawa bro!Naomba nisahihishe,
Kwa kada ya Afya kulalamika Hivi bado unasoma ukiajiriwa je?
Ikumbukwe hiki kitu ni wito.
Tayari SUPP za wizara (tanganyika) zimeshika mtu hapa soma sana acha mazoea ya secondary utafaulu vizuri,
sheria ndo imetungwa kila mwisho wa semester kuwepo na mtihani ambao utatungwa kwa pamoja, hivyo NACTE wanatekeleza tuuu sheria ya CURRICULUM.
Kama 50 unalia hivi je leseni 60 passmark utasemaje,
usiseme ivyo maana haupo field hio.... ww kaa kwa kutulia wwHatutaki mtu overdose.
Pambana na hali yako.
umeandika mambo mengi ila hakuna point broo... kuna watu hayo uyasemayo yako ktk routine na mambo yanaenda ...Asee kama kuna mahali wanatakiwa kukaza ni huku katika masomo ya kozi za afya.
Mitihani siyo migumu hata kidogo.Na mfumo wa kupima umerahisishwa kiasi kwamba mtu anayefeli anakuwa amestahili kabisa kufeli.
Kwa nini wanafeli wengi.
1. Ni uzembe na kutokujituma kwa wanafunzi wa siku hizi.Muda mwingi wanataka wautumie kwenye social media,na maisha ya anasa za kijinga.Vi party kila siku hasa birthday party na kujiingiza katika mapenzi ya wao kwa wao.
2. Hali mbovu ya uendeshaji na usimamizi wa vyuo vinavyotoa mafunzo.
Unakuta vyuo vinakusanya pesa nyingi sana na vinakuwa na wanafunzi wengi mno,ila wanashindwa kuwapeleka mafunzo kwa vitendo kwa masaa yanayotakiwa na mtaala.Halafu hakuna anayejali.Si mwanafunzi,si wamiliki wa vyuo wala wizara ya afya na nacte wenyewe ndio wala rushwa namba moja.
3. Kukosekana kwa vitabu katika maktaba za vyuo.Miundo mbinu kwa ajili ya kujisomea isiyokidhi idadi ya wanachuo wanaodahiliwa.
4. Udhibiti wa wizi wa mitihani uliofanywa safari hii na wakuu wa mafunzo wizarani.
Miaka mingi imekuwa kawaida kwa baadhi ya kozi kupata mitihani.Naona mwaka huu wamefanikiwa kudhibiti ndio maana unaona vilio vingi huku.
Mwisho naomba NACTE waendelee kukaza maana kuna watu wameingia mtaani baada ya kuhitimu tena na GPA ya 5 ila ni majanga matupu.Inasikitisha sana kwa jinsi wanavyohatarisha maisha ya watu huku mtaani
Huo msuli nimeumaliza na nnauelewa sana unafkr nikucheza kibaba na kimama huko chuo?usiseme ivyo maana haupo field hio.... ww kaa kwa kutulia ww