NACTE customer care kuna tatizo gani?

!
!
idara nyingi mno za selikali zina huduma mbovu mno kwa wateja....wamejisahau kwa vile watu hawana altenatives
 
Tatizo langu ni password na liko hapa jamvini zaidi ya wki mbili sijapata majibu

Password kwakweli unawaonea maana wanatoa pale tu unapofanya registration na unatumiwa kwenye email na namba ya simu inatumiwa sms yaani wewe hujapata hivyo vyote huoni kama tatizo liko huko kwa kukosa umakini?
 
Hivi unajielewa? Unajua kazi ya customer care?
 
Password kwakweli unawaonea maana wanatoa pale tu unapofanya registration na unatumiwa kwenye email na namba ya simu inatumiwa sms yaani wewe hujapata hivyo vyote huoni kama tatizo liko huko kwa kukosa umakini?
Kiukweli siwaonei.
Kwanza password ilitumwa kwa email na si simu.
Pia ilipotumwa ktk email iliingia kupitia spam msgs ambazo kumbe hufutika kila baada ya siku 30.
Kwa hiyo mm nljua password imo ktk email yangu kumbe ishafutika.
Sasa km nawatafuta ili nipate hilo jibu kwa nn nisiwalaumu
 
Uliambiwa lkn iandike na uweke sehemu salama ulifanya hivyo?
 
Sasa murugu, naona labda nikuulize, unafikiri kwa nn kwenye system yao kuna forgot password?
 
Mpk awamu ya pl ya application ilikuwepo lkn haikuwa ikifanya kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…