kwan ww upo wap kama n dar why ucwatimbie pale kwao.Duuuuuuuu hata email umejibiwa?
Kila nikipiga no yao ya ttcl hawaipokei na zle za voda na Airtel hazipatikani kabisa
Necta wanayo.Hivi mashirika ya serikali kweli yana customer care?? Mimi najua customer care service iko ktk private organisation haswa kama mteja hayupo ktk location ilipo Taasisi, Serekalini ni uvundo uvundo
Hivi mashirika ya serikali kweli yana customer care?? Mimi najua customer care service iko ktk private organisation haswa kama mteja hayupo ktk location ilipo Taasisi, Serekalini ni uvundo uvundo
Kuuliza yenye majibu?? watu tunatofautiana uelewe kama ww umeona jambo unalielewa basi si sote watalielewa customer care ipo kwa ajili ya kufafanua zaidi jambo haijalishi liko vipi,Mimi nimesha sema idara za serikali zimelala sana kwenye upande wa kucare customer ambapo hapo ndio base ya successMkuu customer care ipo tena sana ila wananchi huwa tuna itumia vibaya. Wengi tunapenda longonlongo badala ya kufanya utafiti kwenye jambo tunalotaka kujua kwanza ndio baadae tupige simu kuuliza tusipo elewa matokeo yake tuna anza kuuliza hata ambayo yana majibu. Kwa hivyo hakuna atakae penda kuongeza na simu kwenye mambo ya msingi.
Tatizo langu ni password na liko hapa jamvini zaidi ya wki mbili sijapata majibuMie i have different opinion hapa. Hivi baadala ya kuandika haya yote na malalamiko tele yasiyoleta msaada ungezungumza tatizo lako linalokufanya uwapigie simu hapa si tungekuwa tumeshakusaidia kutatua? Maana kama unapiga simu kueleza hawapokei simu unafikiri nani anaweza kupokea simu za namna hiyo? Vilevile kuna info za kutosha kwenye website yao kwenye mfumo wa application na guidebooks kuna email yote hayo umeshayatumia ukaona hakuna msaada. Weka namba yako hapa ili waweze kukutafuta basi am sure watakutafuta tu kwa malalamiko haya.
Utaniambiaje tunaitumia vibaya wakati simu yangu hazipokelewi, wao ndo wanaitumia vibayaMkuu customer care ipo tena sana ila wananchi huwa tuna itumia vibaya. Wengi tunapenda longonlongo badala ya kufanya utafiti kwenye jambo tunalotaka kujua kwanza ndio baadae tupige simu kuuliza tusipo elewa matokeo yake tuna anza kuuliza hata ambayo yana majibu. Kwa hivyo hakuna atakae penda kuongeza na simu kwenye mambo ya msingi.
Tuambie shida yako tukupe majibu hapa au tatizo ni hiyo customer care maana hata nacte wapo humu pia na wanatoa ufafanuzi wa mambo mengiUtaniambiaje tunaitumia vibaya wakati simu yangu hazipokelewi, wao ndo wanaitumia vibaya
Humu nimeiwka mara nyingTuambie shida yako tukupe majibu hapa au tatizo ni hiyo customer care maana hata nacte wapo humu pia na wanatoa ufafanuzi wa mambo mengi