Nisaidieni jamani kwani kama chuo kimepeleka majina nacte kwamba nataka idadi ya wanafunzi kadhaa hio not confirmed inatoka wapi? Inamana nacte hawana mawasiliano na vyuo? Wananiweka roho juu kweli
Nisaidieni jamani kwani kama chuo kimepeleka majina nacte kwamba nataka idadi ya wanafunzi kadhaa hio not confirmed inatoka wapi? Inamana nacte hawana mawasiliano na vyuo? Wananiweka roho juu kweli
Jaman mimi 29/9 ilikuwa wameconfirm iringa university but leo wanasema not yet na hata majina yalio kwenye web ya chuo sipo. Nahic wanatuchezea akili kwakweli mi naanza kuwahic wanataka chuon twende mwez wa kwanza cjui
Kwan pale kwenye website ya tcu mmeangalia mkakosa majina? au mpka confirmation ya profile,,mana mm kwenye profile langu bdo confirmation lakn kwenye website lipo jina sasa hapo sijaelewa