MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ukweli Leo website ya Nacte haifunguki sijui tatizo gani ? Hivi IT wa Nacte mmesomea kweli field hii ? Au mmeajiriwa kimakosa ? Mbona tuna IT wengi wapo mitaani na wafanyakazi Wazuri kwanini kama mmeshindwa kazi msiache ?