Hili ndio kosa kubwa la kielimu tunalofail kama nchi. Taasisi nyingi ndani ya nchi haziendi na ratiba au muda wnaokuwa wamepanga na hata ikitokea kuahirisha au kuchelewa hakuna taarifa yoyote in advance kuwapa watu ili wajue kinachojili. Chamsingi kama saa sita ndo hii sasa dk ya 12, hivyo tuwe na subira mpaka saa liishe. Ikifika saa saba kama hawajayatoa na hakuna taarifa yoyote basi tuwapuuze tuu.