NACTE 05/10/2016 ,12:00PM ni jipu matapeli

NACTE 05/10/2016 ,12:00PM ni jipu matapeli

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
2,084
Reaction score
1,623
NACTE WALISEMA SAA SITA MCHANA LEO WATAACHIA SELECTION ZA DIPLOMA NA CHETI MPAKA SASA HIVI SAA SITA SYSTEM WAMEFUNGA TUTEGEMEE KUJA KUONGEZA MDA HAWA JAMAA MATAPELI
 
Hili ndio kosa kubwa la kielimu tunalofail kama nchi. Taasisi nyingi ndani ya nchi haziendi na ratiba au muda wnaokuwa wamepanga na hata ikitokea kuahirisha au kuchelewa hakuna taarifa yoyote in advance kuwapa watu ili wajue kinachojili. Chamsingi kama saa sita ndo hii sasa dk ya 12, hivyo tuwe na subira mpaka saa liishe. Ikifika saa saba kama hawajayatoa na hakuna taarifa yoyote basi tuwapuuze tuu.
 
Huko mnakufukunyua wameandika AM au PM

Kama AM basi leo usiku.
 
Mm nilijua tuu hapa Bongo wazinguaji ni wengi hapo wakiyatoa utaona server zinazingua yani kila kitu ubabaishaji hii ndio TANZANIA
 
Hatimae wameshatoa matokeo, so kama uliomba/Kijana wako kuomba ingia Kwa profile yake ili uone kama kachaguliwa au LA. Na pia System imefunguliwa Kwa waombaji mpaka tar 15/10/2016.

Kwa hapa tuwape pongezi Kwa kutimiza ahadi na kuitekeleza.
 
kuna yeyote wa diploma to digree aliyeona kachaguliwa...?
 
Back
Top Bottom