Nachukua kadi ya CCM sababu nimeamua kuwa FISADI, Kwani ukiwa mpinga ufisadi, utakufa masikini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nachukua kadi ya CCM sababu nimeamua kuwa FISADI, Kwani ukiwa mpinga ufisadi, utakufa masikini

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Jumakidogo, Nov 30, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nimeaua kuchukuwa kadi ya CCM ili nianze rasmi UFISADI. Najua bila kuwa mwanachama naweza kwenda kunyea debe kwa urahisi zaidi. Siwezi kuendelea kuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya UFISADI wakati nafasi yangu inaniruhusu kuwa FISADI. Bosi wangu FISADI, wafanyakazi wa chini yangu hawalazi damu. Nao ni MAFISADI, wafagiaji wa ofisi, MAFISADI. Wenzangu wengi nimeanza nao kazi pamoja, mishahara yetu inalingana, lakini kila nikiwatizama nakuta kuwa ni matajiri wakubwa huku familia zao zikiishi maisha ya raha mustarehe tena kwenye majumba makubwa ya kifahari, wanashindana kununua magari ya thamani kubwa. Mimi naishi kwa kutegemea mshahara tu kwa kisingizio eti mwanaharakati wa kupinga UFISADI wakati ninayo nafasi ya KUFISADI kama wenzangu. Huu ni upuuzi mtupu, upuuzi kwa sababu UFISADI ndiyo mfumo maalumu wa maisha ya sasa. UFISADI ni mtoto wa ubepari. maisha ya usawa huu bila ya kuwa FISADI. Hakuna maendeleo. Natangaza rasmi kuwa, sasa naanza UFISADI. Naamini wale mlio na uchungu wa maisha mtaniunga mkono.
   
 2. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Umenena..hata hao wanaopigania ufisadi ni mafisadi
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,638
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Hata hiyo ada ya mwaka utakayokuwa unalipia kadi yako itaishia kwa MAFISADI !
   
 4. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  :shock:, unayo haki kufanya hivyo. ata vile hujawahi kuwa na kadi ya chama chochote bali wewe ni CCM tangu mwanzo. :mvutaji:
   
 5. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Namie ntafutie basi kadi mbili za ccm, nisaidie pia na bendera ya ccm, nataka kufungua biashara sehemu isiyoruhusiwa, nikiweka bendera na kibao Shina la wakereketwa wa ccm limefunguliwa rasmi na nape hamna atakaye nikamata,

  najamaa yangu naye anauza bangi na bwimbwi kwenye mtaa karibu na mahakama ya mwanzo arusha, anataka kadi na bendera ili kulinda biashara yake.
   
 6. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tafuta na shati la kijani kila siku ya kupiga dili unavalia na skafu ya tanzania.
   
 7. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yaani na mimi hivyo hivyo,kumbe dawa ni kua fisadi tu!
   
 8. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Dah hiyo kali aisee

   
 9. Chimbuvu

  Chimbuvu JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2013
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 4,402
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kumbe ndio tz hii

   
Loading...