Nachukia wanaume wanaume wanaokula ice cream!

Nachukia wanaume wanaume wanaokula ice cream!

Me nachukia Wanaume Wanaofuliwa Nguo na Wake Zao.
Si mfue Wenyewe!!
 
duh! watz bana they are so funny.yeye anachukia wala ice cream, ila wenye nyumba ndogo,wapiga kavu na kupeleka HIV-AIDS kwa wake zao anawapenda sana coz naye ni member.big up kijana umetishaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Dah! Aisee wewe jamaa una matatizo!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Acheni watu wajipe raha wenyewe....
We mbona unajipa raha na nyumba ndogo japo unawakera hawakusemi??????
 
Back
Top Bottom