Nachukia wanaume wanaume wanaokula ice cream!

Niko sehem na kanyumba kadogo kamependa kuja kula ice cream. Around kuna watu wengi wanaenjoy. Wakati madem na watoto wanakula ice cream, juice, vinywaj bard na baadh vileo, nakereka sana kuona kwenye meza chache kuna mianaume nayo inalamba ice cream kwa vijiti. Wanaume wengi hapa wana bia, maji, whisky, viroba na vinywaji vingine vigumu. Kiukwel nakereka sana na vianaume fulani hapa vinavyolamba ice cream na yoghurt kama madem!

Wananyonyaeeeeee najaribu kuivutia hisia midomo ya jinsia hizi 2 natamani kucheka
 
si bora hata hiyo ice cream kuna vichefuchefu wengine wanaopenda kula pipi za vijiti unalikuta janaume zima barabarani linafyonza pipi ya kijiti linaingiza huku linatoa! kah
 
Hawali vitumbua wala chapati

Hawali mseto wala pilau

yaani Nyani Ngabu amenichekesha sana, he could be sarcastic hapo Gaijin lol

mi sielewi sema ndo ivo mitizamo tunatofautiana but when u think kuwa mtu mwingine ako disgusted kumwona mwingine akila ice cream kisa mwanaume...!
 
Last edited by a moderator:
si bora hata hiyo ice cream kuna vichefuchefu wengine wanaopenda kula pipi za vijiti unalikuta janaume zima barabarani linafyonza pipi ya kijiti linaingiza huku linatoa! kah

Jamani starehe za Mjini hzo.
 
Ni fikra hafifu kama wanaosema wsnafunzi ndio hununua line za tigo hivyo wao si wa daraja hilo huku ukiangalia maisha yake ni mlala hoi wa kutupwa au wanamkandia mwenzao amenunua gari ya kike, sijui huwa yanaanzaje anzaje hadi inakuwa hivi.
 
This is chitchat, kila kitu ruksa hata kunywa maziwa kwa mwanaume ruksa so long as kapenda mwenyewe
 
Niko sehem na kanyumba kadogo kamependa kuja kula ice cream. Around kuna watu wengi wanaenjoy. Wakati madem na watoto wanakula ice cream, juice, vinywaj bard na baadh vileo, nakereka sana kuona kwenye meza chache kuna mianaume nayo inalamba ice cream kwa vijiti. Wanaume wengi hapa wana bia, maji, whisky, viroba na vinywaji vingine vigumu. Kiukwel nakereka sana na vianaume fulani hapa vinavyolamba ice cream na yoghurt kama madem!

Kwanza hongera kwa kuamua kuleta kero yako JF najua utapata msaada, pili hiv unataka watu wote wapende kula vile unavyopenda kula wewe? Hebu nambie Nikila Ice cream itanipunguzia nn kama mwanaume? Tatu wanaume wa kweli wanapenda familia zao na wanatulizana una maskio lakin huskii TULIZANA WEWE!
 
ahahahahhaahhahah jamani hamjamuelewa!mimi na ualimu wangu nimemuelewa sana ,ngoja Asprin aje hapa atawaambia kwanini anakereka akikuta mwanaume anaraamba ice cream!
 
Back
Top Bottom