Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

pockert money

Member
Mar 12, 2022
22
65
Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.

Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
 
Ndo umekuja kunitangaza huku....mimi nae niseme yako mywangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…