Mkuu nafikiri umenielewa tofauti kinyume cha umasikini sio utajiri hata middle income ( kipato cha kati) pia hawapo kwenye level za umasikini, hawapo huko.Utajiri unaanzia kiasi gani; kwamba Umasikini ni Wizi (Matajiri sio Wezi)? Umbea (wenye pesa sio gossipers); Kwamba ukiwa mchawi ukipata pesa unaacha uchawi ?
Ufukara ndio ni mbaya sana tena ni mbaya kwa wenye nacho zaidi hata ya hao wasionacho wewe kama unavitu alafu waliokuzunguka hawana hata chakula wala sehemu ya kulima na kupata hicho chakula fahamu kwamba siku ya mavuno unawalimia hao.... (Kwahio ni muhimu kwa kila kiumbe duniani kupata basic needs - Chakula, Mavazi, Malazi) unless otherwise watakuchukia na kukunyangaya ulichonacho na ukizingatia katika kundi lako kuna baadhi wanatumia shortcuts wote mtawekwa kwenye kundi hilo.....
Utajiri ni fikra wewe kama una vitu kumi na unataka ishirini hauwezi ukawa na peace of mind kama mwenye vitatu wakati anataka viwili.... (Ukiwa na fikra hizo nadhani utakuwa na utajiri wa hekima na busara - hivyo maisha utayafurahia na pesa zitakutumikia na sio vice versa)
Unaongelea Slums na Ghettos ? Hoods ni Uswahilini ? Slums zipo hata Kenya au Brazil, hilo sio tatizo la wananchi per se, sababu huko hakuna security, hakuna polisi au hata hao polisi wanashirikiana na waharifu..., Hata wewe ukiwa tofauti ukitaka kutoka kwenye lindi kama hilo waliokuzunguka watakurudisha (Hio ni scenario tofauti kabisa na umasikini na watu wanaweza wakawa masikini lakini wana upendo na wanaishi kwa sheria)Mkuu nafikiri umenielewa tofauti kinyume cha umasikini sio utajiri hata middle income ( kipato cha kati) pia hawapo kwenye level za umasikini, hawapo huko.
Nilienda nchi moja nikakuta Middle income wanaogopa kukaa kukaa na lower income sababu viwangu vya uhalifu kwa low income (90% masikini) ni vikubwa ukilinganisha na middle income.
Iko hivi kule watu wanaoishi maisha ya raha wanaishi kwenye suburbs (makazi ya kistaarabu yaliyopangika na expensive) alafu wanaoishi maisha ya shida wapo kwenye 'HOOD' (kwetu tunaita uswahilini)
So ukienda police utakuta wauza unga, wakabaji, majambazi, wabakaji, wauaji n.k wanatokea Hood (kwetu tuswahilini) wakati huo suburban (suburbs/ maisha bora) wao wanalala hata milango wazi uhalifu uko chini sana.
Nadhani umepata picha ya ninachomaabisha.
ukiwa uswahilini ndo utajua kuna tofauti ya kuwa hai na kuishi,...kule asilimia kubwa ya watu wako hai lakini hawaishi kutokana na umaskiniUmasikini mbaya sana nimekulia kwenye umasikini uswahilini ambako wizi, uchawi, umbea, uvivu, umalaya, uhalifu roho mbaya, chuki n.k ni vitu vya kawaida sana. Huko shule si kipaumbele na watu wanaamini mtoto akiwa hana akili hata akienda shule ni kazi bure, wanaamini utajiri ni bahati na uchawi kwa mtu ambaye hajawahi kuishi huko anaweza kupata shida sana.
Lakini Sisi tuliozaliwa huko tuliona ni maisha mazuri na tumepewa na Mungu na yeye ndiye apangaye nani ampe ushua nani asimpe.
Baada ya kutembea na kupata exposure nchi mbali mbali na mikoa tofauti nimekuja kugundua kuwa Umasikini ni kitu kibaya sana ambacho natakiwa kukikataa kwa namna yoyote ile, tangu nimearealize hilo naitumikisha akili na mwili wangu kwa bidii sana ili kizazi changu kijacho kisionje ladha ya umasikini.
Pia umasikini sio sifa hakuna raha yoyote ya kuwa masikini au mnyonge, hakuna raha yoyote ya kuchukia matajiri na kuona kuwa ni wachawi, hakuna raha yoyote kwenye kukosa huduma nzuri za afya, makazi mazuri na kukosa pesa.
Inawezekana ni kweli Pesa hainunui furaha lakini Umasikini unanunua nini ndugu zangu?
Tuukatae umasikini.
sahihi mkuuNgugi wa Thiongi anasema " hata kama umaskini ungelikua unauzwa kwa thumni Bado asingeweza kuununua,
Umaskini ni kitu kibaya sana...
Marginalization ipo lakini kila mtu ana chance ya kuwa vile anavyotaka, masikini hakuumbwa kuwa masikini au kuishi kwenye slums ni matokeo ya namna ya kufikiri na kuamua njia gani ni sahihi kwa kila mmoja wetu kuishi.Unaongelea Slums na Ghettos ? Hoods ni Uswahilini ? Slums zipo hata Kenya au Brazil, hilo sio tatizo la wananchi per se, sababu huko hakuna security, hakuna polisi au hata hao polisi wanashirikiana na waharifu..., Hata wewe ukiwa tofauti ukitaka kutoka kwenye lindi kama hilo waliokuzunguka watakurudisha (Hio ni scenario tofauti kabisa na umasikini na watu wanaweza wakawa masikini lakini wana upendo na wanaishi kwa sheria)
Scenario ya Ghettos na Slums inasababishwa na marginalization ya tabaka fulani, hata ujenge nyumba nzuri kiasi gani watu waishi (flats na maghorofa) kama watu hao hawana opportunity ya ku-maintain maisha hayo (income earning opportunity inayoendana na gharama za sehemu husika) yatageuka kuwa ghettos, na kama hakuna security wauza madawa wata-prey kwa vijana wa sehemu hizo....
Na hata kama kuna ajira kama hakuna makazi utatengeneza slums..., Kwahio ili sehemu ijengeke (community) inahitaji kuzingatia Social, Economical na Environmental Factors..., wewe peke yako kubadilika katika lindi la waliokuzunguka kama umewaacha nyuma usitegemee kama wewe na familia yako mtaishi kwa furaha...
Kwahio issue sio kuhamia kwenye mitaa expensive; kuondoa mzizi wa fitina ni kwa jamii kuhakikisha mitaa inasecurity na inafaa watu kuishi sababu kama wewe na mitaa yako expensive umezungukwa na ghettos unadhani wadau wa Ghettos pesa za kwenda kubwia unga watatoa wapi ?
Sio kwamba sijakuelewa nimekuelewa ila ninakuelewesha ume-blanket upuuzi fulani kwamba ni zao la umasikini kumbe huenda likawa ni zao la marginalization ya baadhi ya watu.....; Black American na maisha yao ya Hood ni zao la marginalization na kubaguliwa / kutengwa na watu weupe..., Mtu anaona hata akisoma vipi ataishia chini au hawezi kupata opportunity kama mtu mweupe, na waliomzunguka ni wauza ngada.., unadhani hao wauza ngada wanauza sababu ni masikini ?!!! Au unadhani ni bahati mbaya kwa America wengi wa weusi wame-exhale kwenye michezo, sanaa n.k. ? (Sababu huko ndio wanaona kuna opportunity kwahio wengi wanajitahidi waende huko) Ni utamaduni ambao unachukua muda kuingia na kuondoka vilevile... Ni kama mbegu ya Chuki na Upuuzi inayopandwa na watawala wa sasa itakuja kuwatafuna vitukuu...
Aisee !!!!Marginalization ipo lakini kila mtu ana chance ya kuwa vile anavyotaka, masikini hakuumbwa kuwa masikini au kuishi
Kuishi kwenye slums ? Unajua mfano zile slums za kule Nairobi zilianze vipi ? Nani anacontrol mipango miji ? Kwa ufupi sababu kulikuwa na income earning opportunity karibu bila makazi ya kueleweka watu walijirundika hapo bila kuwa na miundombinu ya kuwa-absorb; unasema ni decision making ? Unataka waende wapi na wangapi ? Mmoja kama wewe ulivyoweza kutoka au wote kwa pamoja ? Na huko wanakohamia kwa pamoja wana-ujira wa kulipia kile ambacho wanahitaji.... au watabadilisha wanakohamia kuwa slums ?kwenye slums ni matokeo ya namna ya kufikiri na kuamua njia gani ni sahihi kwa kila mmoja wetu kuishi.
Its more of decision making na sio kulaumu watu au serikali, ni issue ya kupambania tonge kwenye sahani.