Nachukia kupenda

Nachukia kupenda

Utakuwa una walakini fulani kichwani mwako. Pole zako natumai utaweza kubadilika katika hali hii uliyonayo.

Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.
 
kupenda kubaya uliompenda akajua sidhani kama nitapenda tena
 
The moment you hate love, it is the same moment you feel falling in love...
Love is really amazing
^^
 
huwezi kuepuka hiko kikombe aisee!!utapenda tu,kikubwa omba dua kwa mungu usije ukadondokea kwa tapeli maaana mziki wake hauelezeki!!!!!!!
 
Kuna aliyeuliza age yangu, nina 31
 
Kupenda huja automatic unapompata yule unaehisi anakufaa huwa hakuna kujiandaa, inaonekana una tatizo la kisaikolojia waone wataalamu, hakuna kitu kizur kama ujue una mtu anakupenda nawe unampenda, tatizo huja pale tu unapopenda mtu asiekupenda.
 
Kuna aliyeuliza age yangu, nina 31

Kwa umri huo still unaogopa kupenda!!
Hujawahi waza abt settling down maybe!!!
If so uta settle vip wakat waogopa kupenda?!
 
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.

pole sana,pengine hujawahi kupendwa wala kupenda ndio maana unachukia, ila i wish ukutane na mtu anekupenda na unaempenda kwa dhat, for sure you wont regret
 
Katika vitu ambavyo navichukia na naviepuka kwa udi na uvumba ni Kupenda, binafsi sioni faida yake zaidi ya karaha na mateso.

Wapo wanaokupenda,ambao ndio inabidi nawe uwapende,ili mwende sawa.

MPENDE AKUPENDAYE.

wewe utakuwa unalazimisha mapenzi/kupendwa.
Unampenda mtu hata kama yeye hakupendi.

Lazima uchukie kupenda.
 
unachukia kupenda au unawachukia uliowahi kuwapenda? kwanini walikukimbia ukabaki na mateso??? jirekebishe!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom