Nachora ramani za nyumba

Nachora ramani za nyumba

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,315
Reaction score
8,751
Najua wapo wengi wenye Hitaji la Kujengaa!
Wanahitaji Ramani Kali kabisa za Kisasa!
Nipo Hapa Architectus kukuchorea ramani utakayohitaji kwa Shilingi 50000 tu

Nakuchorea Ramani ina
Floor Plan
Front view
Left side view
Right side view
Na Roof Plan

Kama una Uhitaji tuwasiliane Kupitia PM
Au Kupitia Barua Pepe AlfredSulle@Outlook.com

Be Blessed!
images%20(2).jpeg
 
Safi sana. Hongera mkuu. Wahitaji watakuja
 
Ukiweza kuweka na BOQ itapendeza zaidi. Hata kama itamaanisha gharama kuongezeka kwa hiyo kazi.

Mtu akipata ramani, kisha mchanganuo wa makadirio ya gharama za ujenzi zikaambatanishwa inakua vizuri mkuu.

Japo kuna vitu havifanani na inategemea mazingira, udongo, upatikanaji wa maetrial n.k lakini itatoa mwanga wa gharama stahiki.

Hongera kwa ubunifu.
 
Safi sana. Je unachora kwa software au manual?
 
Kwa dizain ya kazi yko tadhmin ya vifaa vya ujenzi toka mwanzo mpk nyumba inaisha ipo? Yaan idadi ya vifaa, idadi ya tofali, mabati, nondo nk.
 
Ukiweza kuweka na BOQ itapendeza zaidi. Hata kama itamaanisha gharama kuongezeka kwa hiyo kazi.

Mtu akipata ramani, kisha mchanganuo wa makadirio ya gharama za ujenzi zikaambatanishwa inakua vizuri mkuu.

Japo kuna vitu havifanani na inategemea mazingira, udongo, upatikanaji wa maetrial n.k lakini itatoa mwanga wa gharama stahiki.

Hongera kwa ubunifu.
Asante sana Mkuu Umekuja zaidi na Wazo Mbadala.. umeniboresha Kimawazo You are always welcome
 
Kwa dizain ya kazi yko tadhmin ya vifaa vya ujenzi toka mwanzo mpk nyumba inaisha ipo? Yaan idadi ya vifaa, idadi ya tofali, mabati, nondo nk.
Nikipata Tenda ndio tutafanya hivyo Boss, Asante kwa Mawazo
 
Back
Top Bottom