OoohoooAutoCAD?? Nna wasiwasi ww sio architect
So huna haki ya kujiita architectusMkuu im not Architect, im Civil Engineer, though Najua kutumia Software za Architectures kama ArchCard, umeelewa?
Sina ubishi chif kwa maelezo hyo, professional ni mwalimUnajua Architectus Maana yake ni nini? Architectus ni Neno la Kilatini lenye Maana sawa na Civil Engineer
Wengine hatuingii PM... wewe weka namba ya simu wateja watakutafuta.. Ndiyo kanuni za JFMKuu PM iko wazi Muda Wote!
Ha ha ha, naamini sana kwenye hizo itikadiHapana Mkuu Sisi ni Wasomi Hatubishani Tunaelekezana tu, Heshima Kwako Mkomunisti (Kidding)
Inakuwa fully? Yaan na idadi ya vifaa mwanzo mpk mwisho?Tsh 50,000 tu boss wangu!
nilitaka nena juu ya hili,AutoCAD?? Nna wasiwasi ww sio architect