Sawa lawama kwa single mothers, ila kila mtu akiplay part yake vizuri itasaidia, mfano mwanaume unajua kabisa huna malengo na huyo mdada wa watu basi muache mapema na siyo kumlaghai hadi kufanya naye mapenzi bila kinga , then katoto kakiingia unaruka viunzi, starehe ya wote lawama kwa mmoja hapana.
Hivi wadada tukiamua kukaza kwamba ukitaka tunda , hadi twende kwa wazazi wakujue unayemendea tunda la mtoto wao, hali ingekuaje.?(just thinking out loud)