Pesa/uhuru wa kiuchumi hauwezi kuwa mbadala wa mwanaume kwenye maisha ya mwanamke hata siku moja, hao mabinti zake hata wakija kuwa na hizo pesa Bado Kuna kitu lazima tu watahisi wanakikosa maishani mwao bila uwepo wa mwanaume..... Nisiandike sana Fanya uchunguzi kwa wanawake wenye vihela hela vyao hapa bongo wanaoishi bila wanaume uone kama wako sawa kisaikolojia.Ishu hapo ni kuomba uzao wako mabinti wawe na akili za kujitegemea. Kila kitu kinabaki sehemu yake.
Shída ya usingle mother inakuja pale Wanawake ni tegemezi.
Walee binti zako wawe na uwezo wa kujitafutia, Attitude Yao iwe ya kujitegemea bila kutegemea pesa ya mwanaume. Alafu uone kuna kima atawachezea.
Wanawake hawana ujasiri huo kwa sababu wengi wao wanayumba kiuchumi na kutoa utelezi ni namna ya kumaliza shida/tamaa zao. Wanaume wakiweka mgomo wa kuonga kundi kubwa la wanawake ndio watapata shida.Nimejaribu kuassume wanawake wote wenye watoto na wasio na watoto wakiamua hakuna kutoa mpaka ndoa na wakasimamia huo msimamo hali watakayokuwa nayo vijana wa hovyo.
Tatizo lipo pale kadada kanapolazimisha kuzaa na mwanaume yani anamtegeshea mwanaume hadi apate mimba yake,unakuta mwanaume hakuwa hata na malengo naye ,wapo wengine wanaodiriki hata tuzae nitalea mwenyewe,badae anaanza usumbufuSawa lawama kwa single mothers, ila kila mtu akiplay part yake vizuri itasaidia, mfano mwanaume unajua kabisa huna malengo na huyo mdada wa watu basi muache mapema na siyo kumlaghai hadi kufanya naye mapenzi bila kinga , then katoto kakiingia unaruka viunzi, starehe ya wote lawama kwa mmoja hapana.
Hivi wadada tukiamua kukaza kwamba ukitaka tunda , hadi twende kwa wazazi wakujue unayemendea tunda la mtoto wao, hali ingekuaje.?(just thinking out loud)
Kweli kabisa: issue ni kupata mtu sahihi tu baasi, kama tatizo lingekuwa ni pesa, hawa dada zetu (wasanii) wasingekuwa single mothersPesa/uhuru wa kiuchumi hauwezi kuwa mbadala wa mwanaume kwenye maisha ya mwanamke hata siku moja, hao mabinti zake hata wakija kuwa na hizo pesa Bado Kuna kitu lazima tu watahisi wanakikosa maishani mwao bila uwepo wa mwanaume..... Nisiandike sana Fanya uchunguzi kwa wanawake wenye vihela hela vyao hapa bongo wanaoishi bila wanaume uone kama wako sawa kisaikolojia.
Pesa sio substitute ya mwanaume na haiwezi kuwa hata siku moja.
eti "mliwapumzisha"Mliwapumzisha saizi kumekucha tena......Mungu epushia mbali kikombe hiki kwenye uzao wangu wotee
Haya Mambo ya kuzaa mara nyingi ni maamuzi ya mwanamke mwenyewe, yeye ndo anaamua abebe mimba au la!eti "mliwapumzisha"
hili la single mother linawakera vijana, hawajalizoea!
Vijana wapewe muda walizoee ama mabinti waachane na utaratibu unaowafikisha kwenye u-single mother?
100% mkuuHaya Mambo ya kuzaa mara nyingi ni maamuzi ya mwanamke mwenyewe, yeye ndo anaamua abebe mimba au la!
Kuna baadhi ya makabila ambayo binti akiolewa hawezi kuachika kizembe, na akiachika (kuvunja ndoa) au kuzalia nyumbani anapewa jina la kumdhalilisha, wengine hufikia hatua ya kumtenga..
Hiyo inafanya mabinti wawe makini na chaguzi zao kabla hawajaingia kwenye ndoa
Na huu ndio ukweli!Single mother wengi wamejitakia wenyewe waishi hivyo hawataki kuishi na mwanaume ili wawe huru kufanya uhuni wao. Hawataki kuolewa kwa kuwa wanaona wana uwezo wa kifedha kutunza watoto peke yake bila baba
kama wanajitakia, mbona wanalalamika sasa?Single mother wengi wamejitakia wenyewe waishi hivyo hawataki kuishi na mwanaume ili wawe huru kufanya uhuni wao. Hawataki kuolewa kwa kuwa wanaona wana uwezo wa kifedha kutunza watoto peke yake bila baba
Huo sasa ni usingle mother wa kujitakia, ila pia kwanini mwanume ucum ndani ikiwa huna malengo na mtu?🤸♀️Tatizo lipo pale kadada kanapolazimisha kuzaa na mwanaume yani anamtegeshea mwanaume hadi apate mimba yake,unakuta mwanaume hakuwa hata na malengo naye ,wapo wengine wanaodiriki hata tuzae nitalea mwenyewe,badae anaanza usumbufu
single mother wengi ni wasomi na wajasiriamali ni wajeuri kwa kuwa wanajiweza kifedha hawana time na mwanaume waishi nae, wanazaa na mwanaume wanayemtaka awapatiea mimba. Hao wanaolialia ni hohehahe hawana mbele wala nyuma kiuchumi ni tegemezi waliopigwa shoo kiholela wakapata mimba kizembe bila kuzaa na mwanaume atakayewajibika kutunza mtoto na yeye piakama wanajitakia, mbona wanalalamika sasa?
single mother wengi ni wasomi na wajasiriamali ni wajeuri kwa kuwa wanajiweza kifedha hawana time na mwanaume waishi nae, wanazaa na mwanaume wanayemtaka awapatiea mimba.
Hao wanaolialia ni hohehahe hawana mbele wala nyuma kiuchumi ni tegemezi waliopigwa shoo kiholela wakapata mimba kizembe bila kuzaa na mwanaume atakayewajibika kutunza mtoto na yeye pia
Itakuwa hatari sana 🤣🤣🤣🤣🪑🪑Nimejaribu kuassume wanawake wote wenye watoto na wasio na watoto wakiamua hakuna kutoa mpaka ndoa na wakasimamia huo msimamo hali watakayokuwa nayo vijana wa hovyo.
wewe kwanini unamvulia chupi mtu asie mmeo? si usubiri uolewe?[emoji23]Huo sasa ni usingle mother wa kujitakia, ila pia kwanini mwanume ucum ndani ikiwa huna malengo na mtu?[emoji2222]
Mtakubali kusubiri hadi ndoa nyie? Mtaanza kusema kuuziwa mbuzi kwenye gunia hamtaki😀😀wewe kwanini unamvulia chupi mtu asie mmeo? si usubiri uolewe?[emoji23]
Sifa za kijingaIshu hapo ni kuomba uzao wako mabinti wawe na akili za kujitegemea. Kila kitu kinabaki sehemu yake.
Shída ya usingle mother inakuja pale Wanawake ni tegemezi.
Walee binti zako wawe na uwezo wa kujitafutia, Attitude Yao iwe ya kujitegemea bila kutegemea pesa ya mwanaume. Alafu uone kuna kima atawachezea.