Nachoka baba yenu juu ya huyu workmate

Huyu yeye ndo anateseka na huyo demu, ukute mwenzie hana hata time naye ni yeye na mawazo yake ya kicenge 😹😹
Kabisaaa uduguu, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni vile niliacha kujihusisha na Mambo ya watu ila Kama si hivyo ningekushauri Jambo moja zuri Sana .
Anyway pambana mpaka useme ukweli kuwa umemzimikia ila unajifaragua faragua hapa kwenye jamvi la mjomba wangu pasina kulipa chochote
 
Nyie ndo mnafanya taifa lichelewe kuendelea. Umeenda kufanya kazi au kupiga story na pisi!?
 
Ni vile niliacha kujihusisha na Mambo ya watu ila Kama si hivyo ningekushauri Jambo moja zuri Sana .
Anyway pambana mpaka useme ukweli kuwa umemzimikia ila unajifaragua faragua hapa kwenye jamvi la mjomba wangu pasina kulipa chochote
Aisee na wewe pambana mpka uache kujihusisha kabisa na mambo ya watu...maana hata kushauri hauwezi.
 
Aisee na wewe pambana mpka uache kujihusisha kabisa na mambo ya watu...maana hata kushauri hauwezi.
Kaka usinijibu hivyo uwa sikawaii kumroga Mtu ,shauri zako
Endelea kunichokoza ,Mimi Niko zangu bize na maumivu ya nchi yangu alafu wewe unamleta utani ,haya wewe nitafute ukianza kuachwa na kufukuzwa kazi usije kulialia hapa maana uchokozi ulianzisha wewe .
Ila una masaa mawili kuniomba msamaha kabla sijafunga chumba Cha msamaha moyoni mwangu.
 
Samahani sana kaka, sikujua kama wewe mroziπŸ˜†...nisamehe mimi
 
Wewe ubamtaka ila yeye anakuona kama unanuka.

Otherwise kwa nini hata unamuongelea hapa she is kiving rent free in your head?

Si umpotezee tu?

Uko kazini kufanya kazi au kutafuta wanawake?
 
Wewe ubamtaka ila yeye anakuona kama unanuka.

Otherwise kwa nini hata unamuongelea hapa she is kiving rent free in your head?

Si umpotezee tu?

Uko kazini kufanya kazi au kutafuta wanawake?
Sawa ni kufanya kazi mkuu...lakini ndio tusijali utu...tunawezaje kusonga mbele bila utu?😊
 
Au labda wenzako unaofanya nao kazi wanasema wewe ni mwizi 😁 na yeye anaskia ndo maana anakuangalia kwa umakini 🀣
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Maisha haya tabu kweli kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…