Mkuu huyo demu simuelewi kabsa, sio kama hivyo...leo kapewa chakula aniletee kafika ame-drop off sahani ya msosi mezani kwangu nilipokuwa nmekaa bila "a" wala "e"...akapotea shwaaaMashtaka yako peleka kwa clemence mwandambo😁😁😂😂..
Unamuita demu wakati yeye anakuona kama husband wake.vunja ukimya muite uongee naye
Una struggle ku connect nn? Ikiwa huna uhitaji nae? Si umpotezee tyuuh.Bado sijafikiria kumtaka labda baadae huko ikinibidi...ni hiyo tabia yake tu inanitesa cause bado mgeni hapo nastruggle to connect. cocastic
Huyu yeye ndo anateseka na huyo demu, ukute mwenzie hana hata time naye ni yeye na mawazo yake ya kicenge 😹😹Una struggle ku connect nn? Ikiwa huna uhitaji nae? Si umpotezee tyuuh.
Wee em kuwa mkweli, unamtaka huyo msichana, sasa chelewa wakuwahi wenzio uanze kulalama wanawake hawaeleweki, kumbe wee ndo mcharoo.
😂😂😂😂
Mimi mwenyewe kuna kapangaji hapa hakanisalimii mpaka nikaanze ila kwa wengine kanasalimia, kananiangalia kwa macho ya kuibia tukipiga eye contact kanakwepesha. Sijui kananitaka au niache ujinga?Mtongoze, hayo yote yanayoendelea yatabaki historia
Acha ujingaMimi mwenyewe kuna kapangaji hapa hakanisalimii mpaka nikaanze ila kwa wengine kanasalimia, kananiangalia kwa macho ya kuibia tukipiga eye contact kanakwepesha. Sijui kananitaka au niache ujinga?
ANAKUPENDA😀😀Habari zenu wana JamiiForums,
Nimekuwa nikifanya kazi sehemu moja na msichana mmoja kwa miezi 3 sasa, hatufanyi majukumu sawa na Wala hakuna namna tunategemeana, lakini tangu siku ya kwanza tulipokutana, hajawahi kunisalimia yaan Ile "good morning" , "shikamoo" or whatever. Hata nikianza kumsalimia mimi sina hakika kama aliwahi kuitikia...maana Huwa simsikii...kiufupi hatujawahi kuongea hata kwa sekunde 2...ni ananikwepa vibaya mno.
Yaan yuko radhi ahame sehemu aliyokuwa amekaa akiniona nimesogea hapo na anapenda kama kunichunguza hivi ninapokuwa napiga stori na wengine huwa ni kama ananitazama kwa umakini sana akiwa mbali kidogo.
Kinachonishangaza zaidi wenzangu wengine anazungumza nao vizuri sana, anacheka, anasalimia, anashiriki mazungumzo. Demu mwenyewe Sasa hana maajabu...mfupi, nyama Hana yaan balaa tupu...anisamehe kwa majungu kidogo.
Ndugu zangu wataalam wa saikolojia naomba mnisaidie kuingia kwenye ubongo wa huyu dada mnifunulie kilichomo maana babq yenu ninachoka, ninachoka sana.
Natanguliza shukrani!..
Nikajua utanipa moyo kumbe ndio unapigilia msumali wa mwisho kwenye jeneza.Acha ujinga
Jibu hili hapaHuyo dem anakupenda
Kwa kweli hamueleweki 😆😆😆 maana sample ya safari hii haikuwahi kuwepo kwenye database yangu kabsaUna struggle ku connect nn? Ikiwa huna uhitaji nae? Si umpotezee tyuuh.
Wee em kuwa mkweli, unamtaka huyo msichana, sasa chelewa wakuwahi wenzio uanze kulalama wanawake hawaeleweki, kumbe wee ndo mcharoo.
😂😂😂😂
Duuh sio Samayu kweli huyo?Demu mwenyewe Sasa hana maajabu...mfupi, nyama Hana yaan balaa tupu...anisamehe kwa majungu kidogo.
Bora huyo wa kwako mkuu...anawasha indicator😆ANAKUPENDA😀😀
Mkuu nakumbuka nikiwa chuo kuna dem flani alikuwa mweupe peee yaani yeye akiniona tu hata kama alikuwa na boyfirend wake alikuwa ananitaza muda wote ninaokuwa hapo..........
Na pia alikuwa ananikwepa kinoma yaani watu wengine wooote anaongea nao ila kuongea na mimi sasa🙌 ni kashshe
Unaweza kuta mara aniparamie mgongoni makusudi halafu anapotea shwaaaa🤣🤣🤣