CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,481
mama mmoja analalamika eti serikali haiwasaidii , mpaka sasa wanawake watatu wamebakwa na kufa. Si mliichagua wenyewe, tena huko Lindi CCM ndio mpango mzima. Acha kulalama kula matunda ya kura zenu!
Wakati chadema wako kaskazini ukitegemeA nachungwea wamchague nani?
Wewe huku kuna CUF kijana.
mama mmoja analalamika eti serikali haiwasaidii , mpaka sasa wanawake watatu wamebakwa na kufa. Si mliichagua wenyewe, tena huko Lindi CCM ndio mpango mzima. Acha kulalama kula matunda ya kura zenu!
Kuna mijitu mtu hata akishindwa kumpa mimba mkewe itasema ccm ndio sababu, kefule!
sasa kama KUNA ALIYESABABISHA NJAA MIAKA YOTE UNATAKA WATU WAMSIFIE ? BILA SHAKA MFUMO HUU UNAKULINDA .