Nachanganyikiwa Nisaidieni, Nina Matatizo Makubwa Ya Kimapenzi

dunia ndivyo ilivyo kaka... mshukuru Mungu kwa kuwa anakupenda kwa kukuonesha aina ya girls u think are better 4u... Mungu akuongoze kumpata a btfl woman 4u...
 
Sikumwelewa, kesho yake kaja kwangu na kuanza maneno maneno mengi na makali sana, heti sina adabu, kila mara natafuta mademu wake.
Angalia nilipopiga mstari. Hapa nina wasiwasi na huyo rafiki yako. Inaonesha hata kwa hawa wasichana wawili wa kabla chanzo kilikuwa yeye. Yeye ndiye aliyekupa hiyo stori ya mchumba wako wa kwanza kutembea na waziri na ndiye aliyekupigia simu kukutishia kifo. Baada ya kumweleza dhamiri yako kwa huyu wa tatu ndio akaamua kukukabili moja kwa moja. Chunga sana na huo urafiki wenu.

Inaonekana huyu anayedai kuwa ni rafiki yake anaweza kuwa ndiye mhusika mkuu katika haya matukio mawili ya mwisho ya kumtishia kwa simu na kumkaripia. Lazima afuatilie kwa karibu hapo.
 
Back
Top Bottom