Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

Nabubujikwa na machozi ya huzuni tuuu

Parody la mwashambwa lakini huo ndio ukweli wake mwenyewe kwa njia ya parody. Na utakoma.
 
Tuliahidiwa kunguni wengi tutakuwa viongozi wa saccos lakini Leo hii tumetupwa na kukanyagiwa mbali na wanaojiona ndo Wana saccos na wamiliki wa saccos Tena mbaya zaidi mwwnyekiti kaleta nduguze waje kuwa viongozi ndani ya saccos wakati kwao Wana saccos yao ambayo ni kuwa mtu wa huku hawezi kwenda gombea kwenye saccos ya kwao
Hahaha,
Poleni sana timu kunguni wa kijani.
Tlaatlaah ChoiceVariable
 
Watajua hawajui na kifuta jasho wajumbe wamelamba 😹😹
Ila wajumbe nikikumbuka ile clip walivyokuwa wamembeba hamisi Kigwangala kabla ya kikao halafu wameenda mchinja!miguu yotee imelegea🤣🤣
 
Daah sema JF bhana unaweza kudhani ni yule Lucas wa Songwe kumbe ni mwingine yule wa Songwe afanye kitu kama Busu la Kenge tu abadili ID..
 
Ndugu zangu watanzania

Nabubujikwa na machozi ya huzuni Leo hii ndugu yenu ukweli nimepambania saccos yetu kwa nguvu kubwa kuipamba kuwa saccos yetu ni nzuri na Haina ubadhirifu wala wizi wa Amana za wanachama

Ndugu zangu saccos yetu imekuwa ikipata fedha ya ufadhiri kwa ajili ya kujiendesha na kusaidia jamii lakini pesa hizo za msaada zinatumika vibaya na viongozi wa saccos kwa kujinufaisha wao na familia zao huku wa walengwa wa msaada huo wakiachwa patupu bila ya msaada wowote


Viongozi wamekuwa wakitutumia sisi katika kuwapamba na kuwasafisha kuwa zile pesa ya miradi ya saccos pamoja Kodi za miradi ya saccos inatumika vyema huku tukipewa pesa ya kujikimu siku mbili tatu tukifurahi na kujiona tunapendwa na viongozi


Tuliahidiwa kunguni wengi tutakuwa viongozi wa saccos lakini Leo hii tumetupwa na kukanyagiwa mbali na wanaojiona ndo Wana saccos na wamiliki wa saccos Tena mbaya zaidi mwwnyekiti kaleta nduguze waje kuwa viongozi ndani ya saccos wakati kwao Wana saccos yao ambayo ni kuwa mtu wa huku hawezi kwenda gombea kwenye saccos ya kwao


Naongea hivi kwa uchungu mana uchaguzi wetu wa saccos haukuwa halali kabisa ila tu ndo hivyo viongozi washajihakikishia uongozi wao na ndugu,jamaa na marafiki zao sie wengine tumetumika kama toilet paper na Sasa hatuna thamani ya kuongeza saccos

Lakini licha ya haya yote bado kunguni wenzangu wanaandamwa na NJAA wataendelea kutumika sababu ya NJAA yao na Kisha baada ya uchaguzi wa saccos watakuwa wanaitwa kwenye shughuri za mwenye saccos mana anapenda shughuri huyo

Ndugu zangu tupendane SI ni wamoja ukweli najutia na kujilaumu kwa kujipa ukunguni ambao nilizani utanitoa kwenye Lindi la umaskini au kuteuliwa kuwa mkuu wa woliya ya saccos moja katika woliya zetu za saccos


Mungu mbariki shujaa wetu anayeteseka kwa ajili yetu vijana wa hovyo hovyo na Imani Kila mtu ana mama yake mana mama wa mwenzio hawezi kuwa mama
Mkuu uhakiki unahitajika! Maana Mwashamba sio Mwashambwa!! Tusubiri kukuche!!
 
Mbona nilikuignore tangu kitambo iyo, hii post vipi????? 🗑️
 
Back
Top Bottom