Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Ndugu zangu watanzania
Nabubujikwa na machozi ya huzuni Leo hii ndugu yenu ukweli nimepambania saccos yetu kwa nguvu kubwa kuipamba kuwa saccos yetu ni nzuri na Haina ubadhirifu wala wizi wa Amana za wanachama.
Ndugu zangu saccos yetu imekuwa ikipata fedha ya ufadhiri kwa ajili ya kujiendesha na kusaidia jamii lakini pesa hizo za msaada zinatumika vibaya na viongozi wa saccos kwa kujinufaisha wao na familia zao huku wa walengwa wa msaada huo wakiachwa patupu bila ya msaada wowote.
Viongozi wamekuwa wakitutumia sisi katika kuwapamba na kuwasafisha kuwa zile pesa ya miradi ya saccos pamoja Kodi za miradi ya saccos inatumika vyema huku tukipewa pesa ya kujikimu siku mbili tatu tukifurahi na kujiona tunapendwa na viongozi.
Tuliahidiwa kunguni wengi tutakuwa viongozi wa saccos lakini Leo hii tumetupwa na kukanyagiwa mbali na wanaojiona ndo Wana saccos na wamiliki wa saccos Tena mbaya zaidi mwwnyekiti kaleta nduguze waje kuwa viongozi ndani ya saccos wakati kwao Wana saccos yao ambayo ni kuwa mtu wa huku hawezi kwenda gombea kwenye saccos ya kwao.
Naongea hivi kwa uchungu mana uchaguzi wetu wa saccos haukuwa halali kabisa ila tu ndo hivyo viongozi washajihakikishia uongozi wao na ndugu,jamaa na marafiki zao sie wengine tumetumika kama toilet paper na Sasa hatuna thamani ya kuongeza saccos.
Lakini licha ya haya yote bado kunguni wenzangu wanaandamwa na NJAA wataendelea kutumika sababu ya NJAA yao na Kisha baada ya uchaguzi wa saccos watakuwa wanaitwa kwenye shughuri za mwenye saccos mana anapenda shughuri huyo.
Ndugu zangu tupendane SI ni wamoja ukweli najutia na kujilaumu kwa kujipa ukunguni ambao nilizani utanitoa kwenye Lindi la umaskini au kuteuliwa kuwa mkuu wa woliya ya saccos moja katika woliya zetu za saccos.
Mungu mbariki shujaa wetu anayeteseka kwa ajili yetu vijana wa hovyo hovyo na Imani Kila mtu ana mama yake mana mama wa mwenzio hawezi kuwa mama.