Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,483 Reaction score 20,045 Jan 23, 2018 #21 Kwahiyo unataka kusema kuwa kucheza taarabu ni ushoga au kuvaa hereni ni ushoga??, kwaio wamasai na wapemba unataka kisema ni wa nani vilee!!? Mkuu tafakari kidogo basi, au una hasira nini??
Kwahiyo unataka kusema kuwa kucheza taarabu ni ushoga au kuvaa hereni ni ushoga??, kwaio wamasai na wapemba unataka kisema ni wa nani vilee!!? Mkuu tafakari kidogo basi, au una hasira nini??
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,483 Reaction score 20,045 Jan 23, 2018 #22 Daudi Mchambuzi said: Nabii Tito yuko sawa tu kwa anachokiamini, tatizo lake ni kwamba hajasajili hii taasisi yake, Click to expand... Alafu anajua kusimamia imani (mtazamo) yake!, sijui atakuwa mfia dini huyu ndugu??
Daudi Mchambuzi said: Nabii Tito yuko sawa tu kwa anachokiamini, tatizo lake ni kwamba hajasajili hii taasisi yake, Click to expand... Alafu anajua kusimamia imani (mtazamo) yake!, sijui atakuwa mfia dini huyu ndugu??
Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 10,586 Reaction score 7,975 Jan 23, 2018 #23 Kina Kakobe kwa kweli wana big influence kwa vijana wa kibongo fleva hapa nchini....yaani hata haka kaTitto kamekuwa kaigizaji siku hizi? Kazi tunayo jamani.
Kina Kakobe kwa kweli wana big influence kwa vijana wa kibongo fleva hapa nchini....yaani hata haka kaTitto kamekuwa kaigizaji siku hizi? Kazi tunayo jamani.