Nabii T.B Joshua alilia hadharani

Nabii T.B Joshua alilia hadharani

Mkuu Kiranga naambiwa wewe humwamini Mungu sasa unawezaje kuwapambanua au kutambua watumishi wa Mungu wa ukweli?

Ahsante
Kama Mungu hayupo, watumishi wa Mungu wote ni wa uongo/ hadithi.

Ila, hata katika hadithi kuna zenye mafunzo mazuri na mabaya.
 
Hizi dini zinachangia sana umaskini kwa waumini wao.... maana hakuna nabii maskini.
Kivipi? Unaamini bila hizo dini Umasikini usingekuwepo?Ina maana hao waumini wanalazimishwa kutoa sadaka au Mali zao kwa hao manabi?
 
Back
Top Bottom