Yesu hakuwa na bodigadi matokeo yake si umeyaona? Ametundikwa kwenye mti kama tumbili hakukua na wa kumtetea!..mwacheni jamaa ajilinde na mabodigadi asije kurudia kosa la bwana yesu
aisee...dah
Yesu hakuwa na bodigadi matokeo yake si umeyaona? Ametundikwa kwenye mti kama tumbili hakukua na wa kumtetea!..mwacheni jamaa ajilinde na mabodigadi asije kurudia kosa la bwana yesu
Loh!!!! huyu shetani sijui katumwa na nani, mahubiri yake hayatofautiani na lamri, nimchonganishi hadi basi, nimeona jana star tv anamwambia mama mmoja ambaye alimpeleka mwanae aombewe, kwa mwonekano mtoto anaonekana anautindio wa ubongo, yeye akasema mtoto alitolewa kafara na marehemu baba yake yaani nilichoka zaidi kajikanyaga hajamwombea kasema nitamweka kwenye maombi yangu lol..... kila aliyeenda kuombewa kwake amerogwa, kwa kweli serikali iliangalie hili swala la wahubiri wapiga ramli.
mimi bora nisali nyumbani kuliko kwenda kwenye makanisa ya ajabu ajabu kama hayo
Kwa maelezo yako na nilivyo kuelewa huyu mtumishi Frank pamoja na wengine wanaojiita watumishi wa Mungu wanao ombea watu na kuwaambia matatizo yao ni waganga(wenye mapepo ya utambuzi)Ngoja nikusaidie kitu ndugu Yangu
Hata shetani anaweza vzr kufanya hiyo kazi,ndo wale waganga wenye pepo la utambuzi!!anakwambia kila kitu mpaka future yako!
So hiyo isikufanye uamini ni mtumishi wa Mungu!
Sasa ili kutofautisha lazima uwe na roho wa Mungu unless utachanganywa!!!
Sasa ngoja nikupe mwanga kidogo, mtumishi yyt wa kweli wa Mungu hawezi kukwambia umerogwa na Fulani ht km ni kweli,roho mtakatifu ana hekima! Unless yawe mapepo yamelipuka ndo huwa yanaongea mambo mengi, bt mtumushi ni kukuombea Mungu akufungue ht km umerogwa kweli.
Pia unapopata neno la unabii,Mungu hua na soln hapohapo.
Simjui huyo frank so siwez kusema lolote juu take,but ngoja nimfuatilie nitakwambia .
Ooh thank you very much!!Unabii wowote usiotumia hekima ni chaka.Unabii unajenga na sio kubomoa wala kuvuruga amani.Ngoja nikusaidie kitu ndugu Yangu
Hata shetani anaweza vzr kufanya hiyo kazi,ndo wale waganga wenye pepo la utambuzi!!anakwambia kila kitu mpaka future yako!
So hiyo isikufanye uamini ni mtumishi wa Mungu!
Sasa ili kutofautisha lazima uwe na roho wa Mungu unless utachanganywa!!!
Sasa ngoja nikupe mwanga kidogo, mtumishi yyt wa kweli wa Mungu hawezi kukwambia umerogwa na Fulani ht km ni kweli,roho mtakatifu ana hekima! Unless yawe mapepo yamelipuka ndo huwa yanaongea mambo mengi, bt mtumushi ni kukuombea Mungu akufungue ht km umerogwa kweli.
Pia unapopata neno la unabii,Mungu hua na soln hapohapo.
Simjui huyo frank so siwez kusema lolote juu take,but ngoja nimfuatilie nitakwambia .
Huyu nabii Frank anakuambia mambo yako yote kama umerogwa na mtu aliyekuroga yaani ana mtaja hadi jina,tarehe mwezi na mwaka,sehemu gani na jina la mganga na aliyempeleka mrogaji.
Nashindwa kuelewa yaani anakipaji cha aina yake
Huyu jamaa simuelewi elewi! Anahubiri kibabe sana na vitisho vitisho vya kishirikina. Anasema anaponya magonjwa tote mpaka ukimwi.
Changa cheche:
1. Kwa wanaomjua, ile Huduma ya kuombea kwa kusukuma na vitisho kaagizwa na nani?
2. Wale walinzi wake anawalipa sh ngapi? Hivi wewe ni mtumishi wa Mungu, walinzi/mabodigadi wa nini? Yaani kila mahali mpaka kanisani mnaboa!
Manabii wengi Usiku hizi Huduma zenu hatuzielewi aisee.
Style ya kupiga na vitisho, mpaka Yesu arudi mtakua mmenyooka wajinga saana
yupo mwingine arusha anajiita nabii mkuuuhuyu jamaa simuelewi elewi! Anahubiri kibabe sana na vitisho vitisho vya kishirikina. Anasema anaponya magonjwa tote mpaka ukimwi.
Changa cheche:
1. Kwa wanaomjua, ile huduma ya kuombea kwa kusukuma na vitisho kaagizwa na nani?
2. Wale walinzi wake anawalipa sh ngapi? Hivi wewe ni mtumishi wa mungu, walinzi/mabodigadi wa nini? Yaani kila mahali mpaka kanisani mnaboa!
Manabii wengi usiku hizi huduma zenu hatuzielewi aisee.
Ni mkakati tu, hili soko lazima ujitofautishe na wengine!
Ukienda kwa Muislaam na kumuambia wewe ni Nabii, utapigwa tu.....maana hakuna jisi ni kupigwa tu ! :yo: christine ibrahim, Tabby, Ishmael, kalagabaho, Malyenge, Usoka.one, kamagetac
Kwa Waislaam hatuna shida ya kujua Manabii. Hawa hapa chini.
'Na tukamtunukia Ibrahim Is-haq na Yakuub. Kila mmoja tulimuongoa. Na Nuhu tulimuongoa kabla. Na katika kizazi chake tulimuongoa Daudi na Suleiman na Ayub na Yusuf na Musa na Harun. Na hivyo ndivyo tunavyo walipa wafanyao wema.
'Na Zakaria na Yahaya, na Yesu na Ilyas. Wote walikuwa miongoni mwa watu wema.
'Na Ismail na Al Yassa, na Yunus, na Lut'i. Na wote tulio wafadhilisha juu ya walimwengu wote.
'Na kutokana na baba zao, na vizazi vyao na ndugu zao. na tukawateuwa natukawaongoa kwenye njia iliyo nyooka (Uislaam)
'Hao ndio tulio wapa Vitabu na hukumu na Unabii.
Qur'an: 6:84-89.
Wa ukweli wako wapi. !?
Loh!!!! huyu shetani sijui katumwa na nani, mahubiri yake hayatofautiani na lamri, nimchonganishi hadi basi, nimeona jana star tv anamwambia mama mmoja ambaye alimpeleka mwanae aombewe, kwa mwonekano mtoto anaonekana anautindio wa ubongo, yeye akasema mtoto alitolewa kafara na marehemu baba yake yaani nilichoka zaidi kajikanyaga hajamwombea kasema nitamweka kwenye maombi yangu lol..... kila aliyeenda kuombewa kwake amerogwa, kwa kweli serikali iliangalie hili swala la wahubiri wapiga ramli.
Haya tuonyeshe wapi ilipi Injili ya Isa Bin Maryam, sina muda wa Quran maana Quran sio Injil na wala Quran sio Biblia [Mkusanyiko wa vitabu]
Huu nao ni msiba kwenu.
Haya tuonyeshe wapi ilipo Injili ya Isa Bin Maryam, sina muda wa Quran maana Quran sio Injil na wala Quran sio Biblia [Mkusanyiko wa vitabu]Wewe ni sikio la kufa, humo kwenye mkusanyiko wa Vitabu hamna Injil ya Yesu. Kuna ya Marko, Luka, Yohana na Mathayo
Soma Luka: 1:1