Acha kumuhukumu mtu, kila mtu anayake kabeba moyoni, nivema mtu kujisafisha nafsi yako kuliko kumwona mwingine mdhambi.
Ninamjua Huyo MTUMISHI Wa Mungu Tokea Akiwa Kigamboni, Kisha Kwa Mzee Willy Pale Mbezi Beach Maguruwe Na Mpaka Alipoanzisha Kanisa Lake Salasala. NINAMKUBALI 100% Kwani MAFANIKIO Yake KIMAOMBI Ni MAKUBWA Na Hayaelezeki Na Tokea NIMFAHAMU Sijawahi Kuona Mtu AKIENDA KWAKE NA ASIFANIKIWE. Lakini Pia TUSISAHAU Kuwa Dini Pia Ni IMANI Ya MTU Na Jinsi UNAVYOJIACHIA Kwa Mwenyezi Mungu au Yesu Kristo. Kwa Mfano UNAKUTA MTU ANAENDA KUOMBEWA LABDA APATE MUME NA MTUMISHI WA MUNGU AKIMWOMBEA NA KUMTAKA AACHANE NA UMALAYA YEYE AKIRUDI TU KITAA MWENDO NI MDUNDO KWA WAUME ZA WATU Je Hapo UNATEGEMEA NINI MKUU? Nabii Flora Peter Ni MTUMISHI Wangu Na Namkubali Hadi Sijui Nisemeje Na Nahisi Nina DENI La Kumlipa Kwa Maombi Yake Ya UHAKIKA Kwangu Na Jinsi Mambo Yangu Yanavyozidi KUNYOOKA. Najisikia Mwenye Furaha Mno KUSALI Kwa Nabii Flora Peter Na Nichukue Nafasi Hii Murua Kuwakaribisheni Na Wengine Wote Ambao Mna IMANI HABA. Mtasikia Mengi Na Mtadanganyana Sana ILA Ushuhuda Wa Maombi Ya Nabii Flora Peter HAUELEZEKI. Namalizia Kwa Kusema " Kwa Msaada Wa Mungu Tutatenda Makuu Kwa Maana Bwana Atawakanyaga Watesi Wetu Zaburi 60:12 Na 108:13 ".
Tumeambiwa tuzichunguze roho maana zingine ni zakishetani na wala hakuna dhambi kuzichunguza. Matendo ya huyu hayaakisi kama ni nabii wa Mungu
Hivi Yesu pamoja na kupata majaribu yooote hayo alibadiri dini na kuokoka? naomba nijibiwe tafadhari.
Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
Mweeh! Na shetani anawapigia hapo hapo...Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
Mtumishi una jazba? Hayo ndio mafundisho ya nabii?Na Gwajima ANAVYOWABANDULIENI Wake Zenu Tena Wazi Wazi ANAWAFUNDISHENI Nini Yule?
huyu sio nabii wa mungu huyu ni nabii wa kuzimu, malkia wa kuzimu mwenye sura ya binadamu... Hili nalisema wazi na kwa uhakika, angalia 👑 yake ni satanic crown angalia imenakshiwa na 🎀 ribbon ya pink, tafuta asili ya rangi ya pink, gauni lake ni rangi nyeusi ya kumetameta ina maana kubwa sana kuzimu, nyusi kazitinda na kuziongezea urefu ni mulemule....... Nitakuja na picha
Huyu sio nabii wa Mungu huyu ni nabii wa kuzimu, malkia wa kuzimu mwenye sura ya binadamu... Hili Nalisema wazi na kwa uhakika, angalia 👑 yake ni satanic crown angalia imenakshiwa na 🎀 ribbon ya pink, tafuta asili ya rangi ya pink, gauni lake ni rangi nyeusi ya kumetameta ina maana kubwa sana kuzimu, nyusi kazitinda na kuziongezea urefu ni Mulemule....... Nitakuja na picha
Ameolewa?
Wapi wameandika kujikoboa dhambi???
aisee mr P umefunguka ile ile...
Mungu akaona vyote alivyoumba kuwa ni vyema.
Kajikoboa kwa vile Mungu alikosea kumpa ngozi nyeusi?
Hiyo picha nilifikiri ni jini kumbe mtu tena nabii mke!
....... Akawatolea mfano mwingine, akisema, ufalme wa mbinguni umefanana
na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake; lakini watu
walipolala akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano,
akaenda zake. Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa,
yakaonekana na magugu. Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda
wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika konde lako?
Limepata wapi basi magugu? Akawaambia adui ndiye aliyetenda hivi.
Watumwa wakamwambia, basi wataka twende tuyakusanye? Akasema la;
msije mkakusanya magugu na kuzingoa ngano pamoja nayo. Viacheni
vyote vikue hata wakati wa mavuno; na wakati wa mavuno nitawaambia
wavunao, yakusanyeni kwanza magugu, myafunge matita matita
mkayachome; bali ngano ikusanyeni ghalani mwangu. (Math.13:24-30)
Tafakari ya leo usiku wapendwa.
Usiku mwemani.
Ziada.
Usimdiscuss mtumishi wa Mungu. Hata kama anakosea kumbuka Miriam na nduguze walifanywa nini kwa kumsema mtumishi wa Mungu. Mungu ana makusudi kuacha magugu na mbegu njema kuota pamoja.