Nabii Flora Peter wa Mbezi Beach...

yesu hakua na dhehebu, alikua mkristo alie kamili
Yesu hakuwa mkristo, yesu alikuwa na mamboyake ya kumtukuza mungu kufundisha watu waishishe na mungu kwa ujumla alikuja ili tumjue mungu wa kweli yeye ndiye aliitwa kristo so kwa wale walomfuata waliitwa wafuasi wake yani wa kristo.
 
Genta ya kweli haya
 
Mkuu mbona unaanza ' Kufukua ' Makaburi tena? Umetumwa?
Hahahahahaha samahani mkuu wangu "ulietukuka"

Niliona kuna Uzi humu ndani unazurura sana sasa nika google nikakutana na huu na nikastaajabu sio kwa ubaya namna unayompa sofa za kutukuka nabii flora mama yako wa kiroho .

I hope bado unasali kwake
 
Hayakuhusu! Halafu acha ' Kunizingua ' sawa? Nadhani unanijua vizuri sana zikininyofoka ' Kichwani ' mwangu.
 
Hayakuhusu! Halafu acha ' Kunizingua ' sawa? Nadhani unanijua vizuri sana zikininyofoka ' Kichwani ' mwangu.
Na wewe acha kutisha tisha watu..ebo!

Eti zikikunyofoka...na zikunyofoke. Utamfanyaje kwa mfano!? Sana sana utaishia kuwa na hasira na kisimu chako.
Hatufahamiani tupambane kwa hoja kwa weledi.
 
yesu hakua na dhehebu, alikua mkristo alie kamili
Wafundisheni watu amri kumi za Mungu na ile kuu, mengine ni mbwembwe. Nimeona walokole wengi ni wafitini, wana visasi na wabinafsi sana ...ukizishika amri kumi wewe umeokoka mauti tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…