Nabii awapa mimba waumini wake zaidi ya 20, wakiwepo wake za watu huko nchini Nigeria

Hapa ndio ilipo tofauti kati ya dini yangu na za wengine, sikatai unaweza kuta ustadhi kafanya ufedhuli hatukatai, ila ni aghlab na sidhani kama atathubutu kusema amefunuliwa sijui na roho sijui nini hawezi thubutu .... MTU fedhuli anatumia jina la dini na wenye dini kimyaaa as if yuko sahihi ....kul wahed
 
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. (Quran 3:19)

Ya Allah tujaalie tubaki kwenye swiratul mustakeem
 
Mawazo yako kama ya huyu Padri mzinifu.

Kufuatana na maneno yako inaonyesha hata wewe unakula wake za watu (mzinifu). Manake mwanamke (ambae sio wako) hata kama kakubali kuzini na wewe (hii sio excuse ya kuhalalisha zinaa), ama kweli akili ni mali.

hao ni mateka
wa boko haram kama hujui Dogo! kwa vile uongo, uzushi, na wewe unamgeza mudi lazima huo uzi we we upige takbir..
 
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. (Quran 3:19)


Uislamu huu ushetan wa 610 A.D ???
 
wee mahi hebu tafakari hii ayat qaraa afu uzibuke!; > 'waislamu wamefuzu wazilinda tupu zao isipokuwa kwa wake zao na inao wamiliki mikono yao ya kuume hiyo red hiyo nyongeza hiyoo!; jee!; ni wake zenu au vibubu aka nyumba ndogo? sio uzinzi mchafu huo kwa idhini ya allah?¿ nakushangaa mishipa ya shingo yakutoka kumpinga allah afu unajiita muislamu! kwa mujibu wa aya hiyo hao boko haram walio wateka hao wasichana wametii maagizo ya allah na waumini swafi sanaa, ilaha wewe mahi umeretadi na kuwa kafiru innsui! na hukumu yako ni kukatwa kichwa kuanzia kisogoni..
 
Mbona Muhammad s.w.a kubikiri bint Aisha mwenye miaka 6 hamsemi
Kwanza Asha RA alipo olewa hakuwa na umri wa miaka 6. Pili huyo ni mke wake, hii post yako imethibitisha kwamba wewe ni muongo sana pia unatetea maasi ya padri huyu mhuni. Si ajabu wewe pia ni mhuni kama huyo padri.
 
Kumbe ni kweli mi nilidhani uongo diiu! Gija mng aje wataona hasira yake mhuuu!!!
 
mchangaji huyo ni hatari, mabiti na wake za watu wamekubali kisa mchungaji anatoa pepo.
 
Back
Top Bottom