Nabii Angel wa Zimbabwe aonekana Clouds

hewamkaa

Member
Joined
Mar 30, 2023
Posts
96
Reaction score
135
Kumbuka Nabii Angel wa Zimbabwe yuko nchini. Juzi alionekana Clouds media akihojiwa. Huyu ni yule wa scandal ya Gold Mafia ya Zimbabwe.

Swali ni je, kaja kufanya nini? Maana huyu ni mzoefu wa kutakatisha fedha. Na kwa nini aje wakati nchi iko kwenye mjadala mzito wa Bandari?
 
Kwahiyo kwakuwa mna ujinga ujinga na ushamba ushamba wenu unaoendelea huku watu wasiendelee na mambo yao mpaka mmalize?!!! Umburura wa wapi huu?!!!
 
June 2023
Dar es Salaam, Tanzania

H.E Amb. Prophet Uebert Angel aingia Dar es Salaam kwa kishindo

Apokewa na mwenyeji wake Pastor Tony Kapola na pamoja watafanya kazi kuwainua kiroho na kimwili waTanzania waweze kufanikiwa kwa kuanda vibaumbele katika maisha yao. Karibuni nyote.
 
23 May 2023

Mengi usiyoyajua ya Nabii H.E Amb. Prophet Uebert Angel

Makala ya 360 yakusimulia tabiri, maono na yalivyotimia ...
Source: SimuliziNaSauti
 
Njoo ujipigie huku danganyika

Utawapata maZuzu wengi kweli

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…