Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Ndugu hata waroma wanakalenda zao.
Kama katika kalenda za hoa wasabato jumamosi ya kalenda tuitumiayo ndio mwisho wa juma wewe utajuaje?
Kuna kalenda tofautitofauti zitumikazo duniani. Kama umekariri hii sasa utakuwa unakosea.
Angalia na mwaka mpya wa kichina ukasema ni february ya kalenda uitumiayo wewe.
Ulikuwa una hasira?
Hao sio Wakristo babu, ni Mayahudi. Wala hamna kazi, wanajua position yao, sema huyu aliyeanzisha mada balehe inamsumbua. Ukiwa Sabato hasa, huruhusiwi hata kula kambale, ni full Torati
Okey, fanya hivi: niambie kwa hiyo kalenda yenu nyinyi Yesu alizaliwa tarehe ngapi ya mwaka gani
Sikua na hasira isipokua tu nimeona ulivyokuja nikajua lazima wasabato wanakukera to some level! Binafsi ni mkristo ila sio muumini mkubwa wa madhehebu yetu tofauti tofauti, bali matendo mema maana mwisho wa yote matendo yetu ndiyo yanayotuunganisha na kututofautisha!
No, umenielewa tu vibaya. Hawanikeri hata kidogo, wanaishi maisha yao complicated for their own sake. Shida ingekuwepo kama wangekuwa na siasa kali kama wakubwa zao Wayahudi.
Ni Torati tu ndio imewaondoa katika Ukristo
Kweli wewe ni mtoka pabaya,kila anayekuelewesha unajua ni msabato?Pole ndugu yangu,nilikuwa nakufahamisha tu,pia unachotaka tuendelee kukijadili ni mada nyingine.
Namna ulivyoamua kudili nao utadhani Ben Saanane anavyodili na PM7!!
Al jumaa= IjumaaNi wewe mwenyewe ndio unanifanya nikufikirie kuwa msabato kwani ni wasabato tu ndio hawaelewi kuwa MOSI-ni Moja, PILI - ni mbili, J3 - 3, J4 - 4...., siku ya sita ya juma la kalenda tunayoitumia ni Ijumaa.
Tofauti ya mimi na Msabato ni kwamba mimi siabudu siku. Ijumaa na Jumapili zote zinafaa kusali na kuomba, ila kwa kuwa Jumapili ni PUBLIC HOLIDAY, basi wa imani yangu huwa tunakusanyika na kufanya DOMINIKA. Na si Jumapili tu, hata Mwaka Mpya kwa kuwa tunaweza kupatikana wote basi tunafanya Dominika.
Karibu tule Kambale
Wakuu, naona mnataka kuacha mada na kuanza kubishana vitu visivyohusianaSwali la kipuuzi kabisa, kwani ukiulizwa umezaliwa lini huwa unajibu kwa mujibu wa kalenda gani?
Wala sidili nao, ngoja niwaache, aliwashindwa Mtume Paulo mimi nitawaweza wapi.
Hey Bob, ni Kamanda mkuu Ben Saanane. Mbona unamuita kifupi, au Msabato wewe...tehe tehe tehe!
Nasikia watu wa Musoma kipondo kwao ni ishara ya upendo, kama hakupigi basi hakupendi.
ni kweli, lakini ni wakurya. jamani, musoma hakuna kabila moja pekee. mimi ni mjita , na hayo mambo hakuna kwetu. pia binafsi nimezaliwa na kukulia Kahama na mpaka leo wazazi wangu wanaishi Kahama. najua kisukuma zaidi ya kijita, na hua najiona msukuma pure. mambo ya ukabila kwa kweli ni kitu ambacho sijazoea kukiweka mbele
Hahahah nishakua msabato na mimi?! Au ndio unahalalisha kudili na mimi vile vile!!? hahahah
Haya bana naomba kurekebisha hapo, tafadhali kifungu hicho kisomeke kamanda mkuu Ben Saanane
Good boy! Kamanda Bob Lee Swagger. Nikienda Rufiji nitakuletea Kambale
ni kweli, lakini ni wakurya. jamani, musoma hakuna kabila moja pekee. mimi ni mjita , na hayo mambo hakuna kwetu. pia binafsi nimezaliwa na kukulia Kahama na mpaka leo wazazi wangu wanaishi Kahama. najua kisukuma zaidi ya kijita, na hua najiona msukuma pure. mambo ya ukabila kwa kweli ni kitu ambacho sijazoea kukiweka mbele
waadventista wasabato tunaongozwa na misingi ya biblia. yes, kitimoto ni marufuku -- ni agizo la Mungu, upande wa soda za coca cola, binafsi mbona ndicho kinywaji changu kikuu?! hapo watu hua wanachanganya kati ya kanuni za afya na kanuni za biblia. kanuni za afya ni maamuzi yako binafsi kuzifata au la, kwa kua imeandikwa miili yetu ni hekalu la Bwana hivyo ni jukumu letu kuiweka katika usafi na kuepuka vitu vinavyodhuru mwili...kwani wewe hujui kua coca cola ina sumu ya mmea wa cola sawa na cocaine?! ila yote kwa yote, ni makosa kumhukumu mtu au kumtenga kwa kile anachoamini au kukifata, wote tumeokolewa kwa neema, hakuna ambae ni msafi mbele za Mungu. siku ikifika , na wewe pia roho wa bwana atakuongoza upate kuifahamu kweli, jukumu langu ni kukuombeaKweli i see mi nilishindwa kabisa kuchumbia binti wa kisabato nilichoka alipo nambia lmani yao inazuia kunywa pepsi/coca cola/azam cola marufuku kula kiti moto, kambale lazima kunyoa panki