naashindwa kulog in JF kupitia simu

naashindwa kulog in JF kupitia simu

simu zina mtindo herufi ya 1 inakua kubwa zinazofuatia zinakua ndogo so unakuta password yako inakua na mix ya herufi kubwa na ndogo wakati kwa pc herufi zote zinakua either kubwa au ndogo.

Jaribu kwanza kuzingatia hilo
 
mkuu Kurunzi sijaelewa..kwenye simu browser ndo kama ipi?
 
mkuu Ndetichia,,,oooh aksante sikua najua.sasa mnanisaidiaje wakuu
 
mkuu Ndetichia,,,oooh aksante sikua najua.sasa mnanisaidiaje wakuu

ingia hapo halafu andika site hii www.operamini.com halafu uidownload hii apps ili ikusaidie hii browser iko kama browser ya pc.
 
aksante mkuu Ndetichia,,i will do that nione itakavokua.be blessed
 
Back
Top Bottom