Naapa kujiua

Status
Not open for further replies.
Please 🙏 usijiuwe, serikali haipendi, itakufungulia mashtaka kama ukifeli
 

Umesema mama yako anakupenda na ana hali ngumu ya maisha huku mdogo wako akikutegemea ukifanya uamuz unaotaka kuufanya huoni kama utawapa masononeko mama yako na mdogo wako?huoni kama wataishi maisha ya kujutia maisha yao yote.unapotaka kufanya uamuzi wowote mbaya angalia wa nyuma yako just fikiria maumivu watakayokuwa nayo maisha yao yote.pambana my dear ili kuwasaidia mama na mdogo wako usifanye hicho unachakitaka sababu utawaumiza sana mioyoni mwao
 
 
 
Akishakaa siku ya kumtoa hataki tena 😂😂 panakuwa kwake andikishana mkataba kabisa
 
Nyuzi za Kipwayungu hizi....oya mzee kisichokuua kinakukomaza kiaskari
 
Haya matukio yaanza kurudi tena JF
Hiki ni kiashiria cha wazi kwamba hali ya maisha ni mbaya.
Bolt zimekaza kiasi kwamba zinakatika moja baada ya nyingine.

Kwa serikali makini hiki ni king'ora cha hatari na ingechukua hatua haraka...ila ndio hivyo tena, ccm wako busy kumsifu Hangaya tu kuanzia asubuhi mpaka usiku.
 
Reactions: naa
Hongera kijana kwa kupambana
 
Kwahiyo huu ndio waraka wako wa mwisho kama bwana katibu🤣🤣🤣, acha ujinga, ukifa ni hasara ya nani? Ni mama yako alijituma kukulea hadi umekuja akiamini wewe ndio jembe lake la kumsogeza atua moja ya maendeleo, angekuwa mjinga kama wewe si angekuwa tangu anakuzaa... Ukienda msaisalimie bwana katibu.. Najua mtakua mahabusu moja.. Mwambie waraka wake na yeye haukueleweka, arudi auweke vizuri🤣🤣
 
Wewe ni mzembe, mvivu na mwoga. Anyway msalimie mwonga mwenzio katibu
 
Hala hala uende na bundle la kutosha maana hamna WiFi hukooo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…