Naapa kujiua

Status
Not open for further replies.
Hii iwe jua au mvua asiitumie Uto waliitumia na bado wakafa huko Sudan.
 
Hahahah alafu unakuta jamaa anakula bado kwa shkamoo
 
Ungekuwa huku pwani ningekuombea kwa fundi ujenzi mmoja ninayemfahamu
 
Upo mkoa Gani? Mimi ni Mtafutaji kama wewe Bado nahamgaika na maisha, Ila Nina nyumba kijijini mkoa X, Kuna Solar kubwa Sana, Kuna eneo kubwa la kulima, nyumba ya Chumba na sebule imeisha tayari, Kuna mabanda ya kuku pia, unaweza Fuga na kulima pia, ukachajisha simu maana umeme haujafika huko, nitakupa ukakae Bure kabisa, maana msoto wa mtaa naujua na nimeuishi Sana, achana na mawazo ya kurudisha namba mbinguni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haina noma mzee kama uliskia kaburini kuna mlipa ada we jipeleke tu
 
hali ngumu sana, maisha hayajawahi kuwa rahisi na hayatakuwa rahisi daima ni mapambano kila siku. Kila mtu hapa ana story yake ya maisha ngumu hatari na kusikitisha sana. Lakini hawakati tamaa na wala hawaachi kutabasamu na kufurahi.
Mimi sikuzuii kujiua, msiba ni fursa kwa muuza jeneza na sanda hata mochwari hulazwi bure. Kuhifadhi mwili kwa formalin ni 30k.
Nchi hii kubwa sana imejaa neema, usikate tamaa zingatia yafuatayo
1. Fanya ibada bila kuchoka
2.Usichague kazi (halali tu)
3.Weka malengo
 
Usijiue bado kuna tumaini,na ushahidi ni huu
Ulizaliwa uchi,je hadi sasa unaandika haya bado upo uchi?
kama umevaa nguo hata kama zimechanika,jiulize ulizipata wapi?
Na kama una nafasi ya kupata computa au simu janja kupost uzi huu
wewe una nafuu kuliko wapambanaji wengine.usijiue.

Nenda hospitali yoyote uangalie wanaosotea afya zao hata kama wana pesa,wanahangaika kwa maumivu
usiku na mchana wanapambana kumshinda adui mauti,wewe mwenye afya
unataka kujipeleka mdomoni mwa mauti bila gharama?

Usikufuru ndugu yangu maadamu una afya njema, Mungu anakupenda.Fanya chochote atakibariki
Usikate tamaa,usijiue,ipo kesho yako ambapo utauona ukuu wa Mungu.

Ikatae roho ya mauti,mkaribie Mungu naye atakukaribia
 
Vijana wa siku hizi ni wepesi sana wa kukabiliana na changamoto, amini nakwambia mleta mada kama sote tungekuwa na mawazo kama yako hapa jf ungekuata watu watano tu .
Tulipitia mengi na magumu, tunapitia mengi na magumu na tutapitia mengi na magumu lakini hatujiwi na mawazo kama yako!
 
Never give up my dear,you never know what tomorrow may bring,have faith in God
 
Huo ubavu wa kufanya hivyo hauna uoga unakusumbua kama kwel unaweza humu tungeletewa hbr zako tyr ushatimiza azma yako tulia upambane kijana we uko mtaani huumwi wala nn nenda mahosptalini ujionee mateso kwa watu huko
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…