Naapa kujiua

Status
Not open for further replies.
Njoo pm nikusaidie mdogo wangu.....mimi ni miongoni mwa wachache walioishinda vita
 
Ukifika huko wasalimie miamba wa tz, msalimie mwl nyerere, msalimie nkapa na dk hayati magufuli.
 
Nadhani kuna hali mtu anapitia mpaka anajiona yeye ndiyo kaja kuteseka duniani mpaka siku ha mwisho, Bro kwanj vipaumbele vyako ni vipi? Ukiwa una ratiba zako huwezi kuwaza kujiua hata mara moja, Bado unayo nafasi.
 
 
Usifanye hiko Kitu utakapojiua Mama yako utamuweka katika hali ngumu sana.
Nenda kwenye Ujenzi anza kutembea na mafundi utapata kazi.
Maisha magumu unapita kwenye changamoto nenda kwa Yesu
Imeandikwa

Mt 11:28-30 SUV​

Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.
 
Mkuu sio masihara watu wa aina hii wapo wengi Sana..mods huwa wanajitahidi kufuta Sana nyuzi zao....
Sema inakua ujinga una miliki smartphone halafu unatangaza kujiua
Mimi mwenyew mbona nataka kujiua Kwa sabab ya Ajira lakini sisemi?. Aache kujambisha watu
 
Usikate tamaa,
 
Pole sana
 
Una umri gani?Umefaulu kwenda hatua ipi kimasomo?unahitaji ada au msaada upi?Nini hitaji lako kijana,funguka usaidiwe
Miaka 21, nimefaulu masomo yangu ya kidato cha sita mwaka 2021, nikashindwa kuendelea kwa kukosa mkopo, nimepanga vyumba viwili na mama yangu pamoja na mdogo wangu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…