Naanzisha Laundry and Dry-Cleaning business: Nahitaji mashine

Naanzisha Laundry and Dry-Cleaning business: Nahitaji mashine

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Hello wanajf!

Ninaanzisha mradi wa kufua nguo kwa mashine za kisasa hapa mbeya mjini (eneo fulani).

Nahitaji mwenye uelewa mashine bora za kufua na kukaushia (wapi zipo hapa dar).

Tafadhari npm au weka hapa.

Asante
 
Viongozi naamini tupo pamoja tena KTK siku ya leo hapa jukwaani ila nami nahitaji mashine za kufungia bidhaa ndogondogo& mashine za kufukia(kufulia) nguo...PM
 
Back
Top Bottom