Naanzaje kumsemesha mpenzi aliyeninunia?

mkuu, pole sana sasa kwanini na wewe ulimbwatukia hali yakuwa unajijua huwezi kukaa pasipo kuwasiliana nae? hiyo ndio tabu mnayoipata wenye wapenzi mmoja...ebu angalia kila kilichopo mwilini mwako vipo viwili na vingine ili vifanye kazi kuna muunganiko wa zaidi ya viungo viwili yanini kujitia mawazo kwa kum'bembeleza msichana ambaye hukuzaliwa nae tumbo moja...kama kauchuna chukua mke mwenzie akufute machozi...
 
Unaanzaje kupata headache kwa sababu ya kununiwa????

Mueleze what happened piga kimya....

Akizingua mtafutie mwenzake
 
Mtumie mpesa au tgo pesa afu jifanye umekosea kwa kutuma muombe akurudishie il ufanye muamala sahihi. Mtaanzia hapo kuongea......
 
Na wewe kwanini ulimbwatukia si ungemueleza tu kiupole na kiupendo, jishushe mbembeleze tu si mpenzi wako hakuna ubaya.
 
Unaingiza Fedha kupitia huyo msichana? kama jibu ni ndiyo, basi jishushe mpaka mwisho. kama jibu ni hapana, na kweli ulikuwa haupo na msichana mwingine, piga kimya.
 
Mvizie popote pale akiinama halafu mpige dole maeneo ya bashite mwenyew ataongea tu
 
Daah wakuu yaani kama mimi vile majanga hayo kunakadem nakafeel kinoma but kwa kununa kanaongoza afu hakuanzi hata ukikaa kimya na yy hivyo hivyo sasa sijui ni kajipu haka
 
Hello jf.
Jana nilikua zangu nacheck game ya man u vs middlesbrough,huyu shemeji/wifi yenu akawa ananipigia,asa kutokana na kelele zilizokua mahali pale sikuweza kumsikia vizuri akakata simu yake,asa game ilvyoisha ikabidi nimpigie kujua alikua anasema nin muda ule ila suprisingly akawa eti kaninunia basi na me nkamuongezea kwa kummbwatukia nkamwambia sipendi kununiwa kwa ishu za kipuuzi maana ye kwa akili yake alihisi nilikua na manzi mwingine,so tangu jana mpaka sasa hakuna aliyekwisha mtafuta mwenzie.
Hapa me tayari nishammiss,lakini naomba kushauriwa gia gani ya kumuingia huyu mtu wakuu ili asione kama nimejipendekeza kumtafuta akavimba bichwa.
Mshike tako
 
On second thought nipe namba yake nikubembelezee,wanaume kusaidiana.
 
Daah wakuu yaani kama mimi vile majanga hayo kunakadem nakafeel kinoma but kwa kununa kanaongoza afu hakuanzi hata ukikaa kimya na yy hivyo hivyo sasa sijui ni kajipu haka

Kajipu hako, katumbue, usikazoeshe kila saa wewe kujishusha, kakisusa sababu ya kijinga, mpotezee mazima.
 
Zima simu yako kisha mpigie kwa namba nyingine! Akipokea fanya kama unataka kuongea kitu flani, kata na uizime pia. Kisha kaa rum utamuona anaingia kimiss!
 
Back
Top Bottom