Naanzaje kumsemesha mpenzi aliyeninunia?

Naanzaje kumsemesha mpenzi aliyeninunia?

we kausha ikifika siku 4 ndo itakuwa njia ya kuachana jumla, mie ilikuwa kama utani tukakaa kimya wote huu mwaka wa 2 na alisha olewa ila bado tumekaziana hakuna cha salamu wala nini?
Mwanaume msimamo ehh..
 
mtumie tu "mambo!" akijibu endelea kuchat ila sipojibu futa na namba yenyewe..!!!!
 
Niraha sana mwanamke ukinuna ukauchuna
Mwanaume ndo akaanza kukutafuta Kila mara
 
Sasa mura na wewe unaleta story gani mbele ya wanaume wa shoka!! mbona unatushushia heshima wanaume wa kanda maalum!!! hauna dem mwingine hapo au unategemea huyo huyo mmoja!!!!
 
KAZI NDOGO MM WANGU TULIZINGUANA AKANITUMIA SMS ETI MWEZI UISHE AKILI INIKAE VIZURI SIKU TATU HASOMEKI NIKAMWAMBIA NAOMBA UPOKEE SIMU TUONGEE ILI TUACHANE,SIKU NZIMA SIKUMTAFUTA KESHO YAKE NIKATEST KAPOKEA HATA BAN YA MWEZI KASHASAHAU NIKAMTUMIA M-PESA UTADHANI HATUJAGOMBANA
 
we kausha ikifika siku 4 ndo itakuwa njia ya kuachana jumla, mie ilikuwa kama utani tukakaa kimya wote huu mwaka wa 2 na alisha olewa ila bado tumekaziana hakuna cha salamu wala nini?
ha ha ha hii inaitwa dawa ya jeuri ni kiburi
 
Back
Top Bottom