Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

Mchebe

Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
30
Reaction score
4
Habr zeny wana jf. Me nikijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu sinaga mwisho mzuri na wasichana ninaowatokea. Niliwah kuwa na mahusino na msichana mmoja nikiwa na umri wa miaka 18. Tulikuja tengana kwa kukosa uhaminifu. Tokea hapo sikuwahi tena kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana yeyete hadi leo hii. Kutongoza najua, shida inakuja pale ninapokubaliwa nakuwa sijui cha kuendelea mbeleni, yaani nakuwa kama mgeni kwenye mapenzi. Kwa mfano naweza kumpigia dem niliemtongoza mwnyw akanikubalia then nisiongee chochote cha maana, mwisho wa sku tunaagana kila mtu kivyake, hata nikipanga tukutane bado hali ni kama hiyo. Basi kwa hali najikuta ndani ya 2week tumesha achana, na utakuta sijaambulia hata kiss. Na huwaga inatoke mara kwa mara ninapotongoza msichana mpya. Naomba mnisaidie kimawazo maana sielewi hii ni type ya domo zege au ni tabia 2.
 
hahaahahahahahahahahah teeeeeeee haahahahhahaahhaahhahaha hahahahaahhahahaha hahahahahahahahaahahhaahahha teeeeeeeee hahahahahahahahahahha njooni muone hii kitu hahahahahahahaha teh teeeeeeee mbavu zangu hahaahhahahahah.
 
Maji usoweza kuyakoga usiyavulie nguo...
 
umerogwaaaaaa..."coming from future priest"
 
Hujawa serious na mapenzi wewe ukianza kuwa serious one day machozi yatakutoka juu ya mwanamke na magoti utapiga just wait and u will see
 
dah conclusion yako imenivunja mbavu.....kama vipi tulizana kwa muda fulani usitongoze tu sababu unamaneno....tulizana mpaka ujue unachotaka na ujue utafanyeje ukishampata.
 
^^
Endelea hivyo hivyo utajiepusha na mengi,si kila jambo lina ubaya tu.
^^
 
Tongoza waschana wa size yako. Jipime kiuchumi na kimuonekano uone unaweza wepi.
 
Nguvu nying inayotumika kutongoza tumia kuongeza kipato au kazana kusoma
 
Uwe unaomba mzigo mapema bwana unakaa wiki mbili zote bila kuomba mzigo unategemea nini hapo?
 
Heading ungeandika mimi ni domo zege naomba msaada nifundishwe kutongoza!!hapo ndo tuition ingeanza,kwa sababu tukukuacha hivihivi wewe utalala na bata na mbuzi za kwenu au utaulegeza mgegedo kwa kupiga puli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Heading ungeandika mimi ni domo zege hapo tungeanza kwa kukupa tuition kwa sababu tukikuacha wewe bata,mbuzi na Ng'ombe za kwenu utazichapa au utaendelea kuulegeza mgegedo kwa kupiga puri sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tatizo ni hizo masturbation zako ambazo hujazitaja kwenye maelezo yako.

Nakushauri uache huo mchezo kwanza,halafu rudia tena kutongza uone kama hautadumu!

Kila kheri.
 
Dogo tatizo unatongoza ukiwa huna sababu ya kufanya hivyo nin nakushauri subiri intake ya tatu ya JKT utakaporudi utakuwa mkakamavu na akili itakukaa sawa mwisho wa cku utajua lengo la kuwa kweny mahusiano then mambo yatakwenda muruaaaa!
 
Back
Top Bottom