Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

Nashukuru kwa ushauri wenu lakin Dah! Dat iz true coz me nimwanacham mzuri 2 wa kula pensheni inaweza ikawa ndio tatizo ambalolo ninalo. Sababu nimeanza kula pensheni tokea nina miaka 16. Lkn kuacha hii kitu iz it possible? coz nimejari 4 long tym but i can't do it, solution ni nn yakuacha hii ki2 aisee inaraha yake.
 
Heading ungeandika mimi ni domo zege naomba msaada nifundishwe kutongoza!!hapo ndo tuition ingeanza,kwa sababu tukukuacha hivihivi wewe utalala na bata na mbuzi za kwenu au utaulegeza mgegedo kwa kupiga puli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Duh JF ni noma!
 
Naomba hiyo hali iendelee hivyohivyo na wala husipate tiba, maana unataka kuzini wewe!!
 
Hamna lady doctor hii nafanya kwa preparation of mariage. Ambayo natarajia kufanya panapo majaaliwa miaka 2 ijayo, so natafta experience ya kuwajua wadada mapema kabla ya kujiingiza humo
 
Hamna lady doctor hii nafanya kwa preparation of mariage. Ambayo natarajia kufanya panapo majaaliwa miaka 2 ijayo, so natafta experience ya kuwajua wadada mapema kabla ya kujiingiza humo

endelea kujidanganya ndugu yangu!!!!! Kwastyle hiyo utatembea mpaka na magubegube yaliyo shindikana mjini, mwisho wa siku ukapata 'kilema' cha maisha....!!!!!!!!

Muombe Mungu wako akupe mke mwema, huku matendo yako yakiwa mema mbele za Mungu!!!!!

Wanawake wa sikuhizi hawapimiki bana, wanabusara usoni wachafu moyoni!!!!!!!!!

Akili kumkichwa!!!!!!!!
 
Habr zeny wana jf. Me nikijana mwenye umri wa miaka 23, tatizo langu sinaga mwisho mzuri na wasichana ninaowatokea. Niliwah kuwa na mahusino na msichana mmoja nikiwa na umri wa miaka 18. Tulikuja tengana kwa kukosa uhaminifu. Tokea hapo sikuwahi tena kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana yeyete hadi leo hii. Kutongoza najua, shida inakuja pale ninapokubaliwa nakuwa sijui cha kuendelea mbeleni, yaani nakuwa kama mgeni kwenye mapenzi. Kwa mfano naweza kumpigia dem niliemtongoza mwnyw akanikubalia then nisiongee chochote cha maana, mwisho wa sku tunaagana kila mtu kivyake, hata nikipanga tukutane bado hali ni kama hiyo. Basi kwa hali najikuta ndani ya 2week tumesha achana, na utakuta sijaambulia hata kiss. Na huwaga inatoke mara kwa mara ninapotongoza msichana mpya. Naomba mnisaidie kimawazo maana sielewi hii ni type ya domo zege au ni tabia 2.

Hiyo itakuwa ni type ya domo zege.
 
hahaahahahahahahahahah teeeeeeee haahahahhahaahhaahhahaha hahahahaahhahahaha hahahahahahahahaahahhaahahha teeeeeeeee hahahahahahahahahahha njooni muone hii kitu hahahahahahahaha teh teeeeeeee mbavu zangu hahaahhahahahah.

We mbaya sana kaka..
 
anataka afundishwe jinsi ya kutongoza!!!!! Mmmhhhh amlete huyo binti nimtongozeee.....free of charge
 
Heading ungeandika mimi ni domo zege hapo tungeanza kwa kukupa tuition kwa sababu tukikuacha wewe bata,mbuzi na Ng'ombe za kwenu utazichapa au utaendelea kuulegeza mgegedo kwa kupiga puri sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hahhahahahahahahahahahah
Umempa za uso!
 
Dogo tatizo unatongoza ukiwa huna sababu ya kufanya hivyo nin nakushauri subiri intake ya tatu ya JKT utakaporudi utakuwa mkakamavu na akili itakukaa sawa mwisho wa cku utajua lengo la kuwa kweny mahusiano

Mkuu mnajuana nini,?
 
...ukipenda maneno yatakuja yenyewe, na si kukariri kama mashairi!
 
We shukuru kwa hilo, umri bado mdogo, fanya mambo mengne ya maendeleo, mapenz waachie wanaoweza uclazimishe fan bwana mdogo. Alafu tafuta na mda wa kujifunza kiswahili maana hujui, huo muda wa kutongoza jfunze hata kiswahili
 
Back
Top Bottom