Naanza Kuwa Mbea Kuanzia Leo

Yes. Na ukizingatia maisha yangu yote ni uswahilini. Ngoja niongeze spidi
 
Wambea hawajui kukaa na kitu moyoni, which is good ndio maana wanasaikolojia wanashauri usikae na kitu moyoni, kitapike uwe huru
 
UKIKAMATA MWIZI USIMPIGE MPE MZARAMO ATAMSEMA MPAKA AFE BILA KUPIGWA
 
Basi Watanzania wataishi maisha marefu sana!
 
Wale waandishi wa magazeti ya udaku wataishi miaka mingi....!!!
 
Tunatoa kozi za UMBEA kuanzia ngazi ya cheti, stashahada, shahada na PhD.
Tunawaalimu wenye uzoefu na waliobobea kwenye hii tasnia.

Wote mnakaribishwa.
 
Tunatoa kozi za UMBEA kuanzia ngazi ya cheti, stashahada, shahada na PhD.
Tunawaalimu wenye uzoefu na waliobobea kwenye hii tasnia.

Wote mnakaribishwa.
hujataja sifa za muombaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…