SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,845
Mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wamepanic, tena wamepanic vibaya, na matokeo ya kupanic huko wanafanya maamuzi ya kukurupuka na yanayovunja haki za bunadamu.
Mara huyu kawatia ndani watendaji (Kinondoni), mara huyu kawalazimisha watu kufanya kazi bila likizo(Moshi), mara huyu kawalazimisha watendaji kukaa chini kwenye darasa lenye vumbi eti ili wajue watoto wakikaa inakuwaje (Rorya), kila kukicha ziara za kushtukiza ambazo mwisho wake hatuambiwi zime achieve nini (tena Dar peke yake)
Mara huyu kawafungia watumishi geti, Yaani ni fujo na sifa tu.
Kimsingi kauli ya Mh Rais kuwa wateuliwa wake watajielekeza wenyewe inaleta vurugu huku maofisini. Hawa waheshimiwa wameshindwa kuelewa maana ya 'HAPA KAZI TU' na kimsingi kila mtu ana tafsiri yake.
Bila semina elekezi tutayashuhudia mengi.
Kwa kweli nimeanza kuona umuhimu wa Dkt. Magufuli kuwapa hawa wateuliwa wake semina elekezi, ili wajue ideology hii ya Mh Rais utekelezaji wake unaendaje..
Nawasilisha..