ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,295 Reaction score 31,694 Jun 11, 2015 Thread starter #61 mwasu said: Acha kujipa jakamoyo, wapotezee tu fanya kama hakujawahi kuwa na Lowasa wala ITV, si lazima ukereke na unang'ang'ana tu kwani ni dawa hiyo? Click to expand... kua na lowasa? ww unae?
mwasu said: Acha kujipa jakamoyo, wapotezee tu fanya kama hakujawahi kuwa na Lowasa wala ITV, si lazima ukereke na unang'ang'ana tu kwani ni dawa hiyo? Click to expand... kua na lowasa? ww unae?
Upanga Mkali Member Joined Dec 24, 2014 Posts 96 Reaction score 83 Jun 11, 2015 #62 Televisheni ya wachaga
W Wakuligo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 259 Reaction score 106 Jun 11, 2015 #63 Mkulima wa kigoma amepata shavu la kuonyeshwa ITV akichukua form na mfuko wake wa rambo,story yako si kweli:sad:!
Mkulima wa kigoma amepata shavu la kuonyeshwa ITV akichukua form na mfuko wake wa rambo,story yako si kweli:sad:!
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,559 Jun 11, 2015 #64 ukikaidi utapigwa2 said: kua na lowasa? ww unae? Click to expand... Ndio niko nae kama kiongozi wa nchi.
ukikaidi utapigwa2 said: kua na lowasa? ww unae? Click to expand... Ndio niko nae kama kiongozi wa nchi.
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,818 Jun 11, 2015 #65 Upanga Mkali said: Televisheni ya wachaga Click to expand... Ya mchaga sio wachaga.. Mengi haja share na mtu
Upanga Mkali said: Televisheni ya wachaga Click to expand... Ya mchaga sio wachaga.. Mengi haja share na mtu