NAANDIKA DISSERTATION/RESEARCH REPORTS/PROPOSAL/Conference PAPERS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAANDIKA DISSERTATION/RESEARCH REPORTS/PROPOSAL/Conference PAPERS

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by blessings, Sep 5, 2012.

 1. b

  blessings JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,075
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  Salam wadau
  Mimi ni mtanzania, pia nina Shahada ya Pili katika Management&Administration na pia najishughulisha na shughuli mbalimbali za utunzi wa vitabu na majarida ya kitaaluma (Academic Journal articles), kwa yeyote mwenye kuhitaji msaada wa kusaidiwa kuandikiwa/kuelekezwa jinsi ya kuandika Dissertation/Thesis, Research Report, Proposal na Conference paper kwenye area yoyote hususani kwenye area ya SOCIAL SCIENCES/HUMANITIES (Management, Administration, Development) please tuwasiliane (ani-PM)
   
 2. b

  blessings JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,075
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  Mwenye kuhitaji kuona kazi zangu ambazo nimesha-publish tayari katika Peer-revieved Journals anaweza kuni-PM and i'll be glad to share with him/her.
   
 3. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  wewe kwa uelewa wako unaona kwamba unachofanya unasaidia jamii yetu au unaiangamiza? hivi unafikiria nini na masters yako kuhamasisha watu wazembe wa kufikiri kama wewe waje kwako uwaandikie research paper na dissertation? how can we call that kind of initiative? is that constructive or destructive entrepreneurship? So what ukishamuandikia paper kwa ajili ya Journal, je ni wewe ndiyo utalipwa tena kwenda kudefend hizo dissertations? WATU KAMA WEWE MNATAKIWA KUPIGWA MAWE KWA KUCHANGIA KUZALISHA WATU WASIOTAKA KUJITUMA NA BADALA YAKE WANAFIKIRIA AKILI ZA KUHARIBU JAMII KAMA ZAKO.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Blessings, hongera sana. Ngoja niku-pm. Lakini sisitiza kuelekeza watu jinsi ya kuandika na sio kuwaandikia. Ujuzi hauzeeki.
   
 5. b

  blessings JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,075
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  Asante kwa responses! nilimaanisha kuelekeza jinsi ya kuandika na si kumuandikia mtu kimsingi sifanyi biashara bali ni katika kuelimisha jamii na kujenga jamii yenye kupenda kusoma/kufanya utafiti/kuandika/kuripoti matokeo ya utafiti. kiukwlei naumia jinsi watanzania tulivyo waoga katika kuandika/kuwasilisha matokeo ya utafiti katika mikutano na makongamano ya kimataifa so najaribu kuweka jitihada angalau kujenga uwezo kwa watanzania. NASISITIZA SIFANYI BIASHARA HUDUMA HII NI BURE kwa atakayehitaji na kwa muda maalum katika wiki maana nami nina ratiba binafsi so mlengwa itabidi akubaliane na ratiba zangu pia kwa kuanzia mtu anaweza kunitumia ABSTRACT ya kile anachotaka kukifanya then nitamjibu ndani ya siku 1 au 2 baada ya kuipitia hiyo ABSTRACT.
   
 6. Jiang Yang

  Jiang Yang Senior Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 111
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nimeku pm, check your inbox.
   
 7. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  If at all this is what you meant then I am so sorry for my first comment to your first post. Thanks very much for your concern to our society.
   
 8. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,924
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  mmh! ur so kind 2 us.let me PM u
   
 9. b

  bamku JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 537
  Likes Received: 400
  Trophy Points: 80
  ahsante mkuu mimi nitumie hints za research report
   
 10. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Iko poa, hivi unaweza kuandika abstract ukashindwa kuandika research report?
   
 11. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,924
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  asante Sana Kaka kwa response yako.duuh sijawahi kuona Mtanzania mwenye roho ya kusaidia kama wewe. maana nilikuwa sijui pa kuanzia
   
 12. K

  KENET JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kwa nini asaidiwe na wewe.Wewe ni nani aliyekusaidia.
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Pumbafu kabisa..unaandikiaje watu dissertation
   
 14. K

  KENET JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Wewe Kilaza Mkubwa.Nyie ndio mnaocopy na kupaste.
   
 15. K

  KENET JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Vilaza hutashindwa kuwajua humu.
   
 16. K

  KENET JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Vilaza wengi humu sijawahi ona
   
 17. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,589
  Likes Received: 2,697
  Trophy Points: 280
  Blessings ni kweli unamaanisha bure au unatania maana mimi namjua mtu anaitwa Kamalekki 0713711540 yeye ana-edit kwa page Tsh.5,000/= so ukiwa na page 120 (5,000x120=600,000/=) na anakula vichwa mwanzo-mwisho mpaka vingine anavikimbia sometimes anazima simu wiki nzima kuepusha usumbufu wa kutafutwa na "vilaza"
   
 18. j

  joshua_ok JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4,589
  Likes Received: 2,697
  Trophy Points: 280
  Blessings kafungue ofisi pale nje ya Mzumbe(Moro na Dar), Open University, UDOM na CBE utapata vichwa mwanzo-mwisho. maana mi-wanafunzi ya mule yote vilaza haijui hata kuandika sentensi moja ya kiingereza ikaanyooka sijui wanapataje hizo Digrii au ndo digrii za Chupi?
   
 19. M

  Moony JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Weka kazi zako hadharani kama kweli ni halali. kwa nini tuku pm ?
   
 20. M

  Moony JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  bure bila malipo?
   
Loading...