Naan Bread Mkate wa Naan Mashallah nitakuuja kuula siku moja nyumbani kwako mdogo wangu.
Naan Bread Mkate wa Naan Mashallah nitakuuja kuula siku moja nyumbani kwako mdogo wangu.
wewe kama mimi huwa siyapendi nikila basi ninaweza kukaa hata siku 3 bila ya kwenda haja kubwa yanafunga choo kikubwa huwezi kupata ni hatari kiafya hayafai chapati mbichi (Pizza) mimi huwa ninaziita.Hayo ma naan bread huwa siyapendagi kabisa mimi.
Kwenye migahawa ya Kihindi huwa yanakuja kama side.
Mi huwa nawaambia wala wasihangaike kuniwekea maana mara nyingi huwa nachukua to-go.
Nipo njiani kazi zimekuwa nyingi tena Mipango ya pesa mingi tena si unajuwa Ulaya bila ya pesa Euro huywezi kuishi??? nitakujia na ndege binafsi unasemaje?Hee kila siku wasema hivo hivo waja kula naona hufiki tu lol
Hayo ma naan bread huwa siyapendagi kabisa mimi.
Kwenye migahawa ya Kihindi huwa yanakuja kama side.
Mi huwa nawaambia wala wasihangaike kuniwekea maana mara nyingi huwa nachukua to-go.
Nyani Ngabu wahindi wanatia na garlic bhana ndio mana huzipendi
Ahaaaaa kuumbe!!
Ahsante kwa kunifumbua macho maana nilikuwa sijui kabisa kama wanatia vitunguu saumu.
Usijali hamna tabu.....ulikua wapi siku nyingi sijakuona apa
Majukumu tu dada'angu.
Nyakati zingine boksi linabana vibaya mno.
Sa kama haendi choo si ina maana "the whole meals was full of nutrients n minerals" no need for defecationNaan is very healthy, napenda sana. Unaweza kunyunyiza ufuta juu kabla ya kubake.
MziziMkavu, hupati choo manake unazifakamia lol. Hebu uwe unakula moja per seating
Naan is very healthy, napenda sana. Unaweza kunyunyiza ufuta juu kabla ya kubake.
MziziMkavu, hupati choo manake unazifakamia lol. Hebu uwe unakula moja per seating